Baada ya north africa itakuwa east africa people's power spread

Pentest

Member
Jun 16, 2009
42
0
Wakuu ninacho jifunza kutoka kaskazini ya Africa ni kama tulivyo wavumilivu sisi watanzania, nao pia walivumilia sana tena wao wanaviongozi ambao ni madictator kuliko tulio nao sisi kwetu africa mashariki na hasa Tanzania.

Nionacho au ninachojifunza kutoka kwa hawa watu nikuwa PEOPLE'S POWER usiifanyie masihara kabisa inaweza kukutoa kamasi na uka hutaishia'THE HAGUE' wakati uzeeni unatakiwa ule kuku kama za mzee MADIBA.

Kiukweli nashawishika hata sisi watanzania twaweza kufanya hayo wanayo fanya wa tunis na misri.

Je, tupo tayari kuweza kufanya hayo?
Nchi yetu inako kwenda sio kabisa ...ukifikiria na kujionea yote haya yanafanyika bila hata baba mwenye nyumba hajazungumza chochote ujue kuna tatizo kubwa linakuja au hakuna litakalo tokea kwa upande wake.

Ila kwa aliye na familia atanielewa iwapo una mtoto kadri siku zinavyo kwenda mtoto anabdilika kitabia na wazazi na hasa baba anakaa kimya basi ujue siku fulani atakuja na mambo ambayo utashtuka lakini yeye atasema baba hana noma wacha nifanye tu.
Tuliangalie hili watanzani kama mnaona vyama navyo havionyeshi njia ya kuwatoa hawa watu wachafu (mafisadi) basi itumike PEOPLE'S POWER kuwatoa kwa kuwa wote nchi ni yetu najua tutaacha idikadi za vyama hapa kama mzelendo wa kweli kabisa.

Nawasilisha...
 
Acha kuota ndoto za mchana, unajua sababu za kina za Nchi za Tunisia na Misri kufanya hivyo ?
 
Re: Baada ya north africa itakuwa east africa people's power spread

Acha kuota ndoto za mchana, unajua sababu za kina za Nchi za Tunisia na Misri kufanya hivyo ?

Acha kuwa muoga ndiyo ninyi mnao faidika na huu unyonyaji shauri yako tunakuja kutoa watu hapa.

Ubishe usibishe utakumbuka hii kauli yangu.


 

Similar Discussions

Back
Top Bottom