Haja kubwa iinatoka kama ya mbuzi

Jaribu kutumia glasi moja ya ukwaju kutwa mara 3. Pia usisahau matunda kama papai, parachichi, mbogamboga na maji mengi ya kunywa. Kumbuka, mtu mzima yastahili anywe maji lita 3-5 kwa siku.
 
kwakweli majibu mengine yamenifanya nicheke sana cjui kwann ila nakubaliana na mengi majibu langu nakushauri unywe maji ya vuguvugu glasi 3 asubui na mapema kunywa taratibu kama utaki vile ukimaliza uwe karibu na choo, au fanya mazoezi kama unaruka kamba hapo hapo chumbani au kunywa juic yaukwaju iwe nzito kidogo alafu atuambie yolojiri
 
Yote yanaweza kuwa majibu ya kukusaidia lakini... ki Biolojia hizo ni dalili za AMOEBA hivyo fanya mpango uende hospital na watakupa anti biotic.... Usichelewe AMOEBA inauwa tena sana kwa watu wazima plz wahi hospital.
 
Yote yanaweza kuwa majibu ya kukusaidia lakini... ki Biolojia hizo ni dalili za AMOEBA hivyo fanya mpango uende hospital na watakupa anti biotic.... Usichelewe AMOEBA inauwa tena sana kwa watu wazima plz wahi hospital.

nakubaliana nawe akapime amoeba-nilishawai kupata dalili km izo na nikapima ikawa amoeba
aisee inatesa sana sana na dawa zake jehanam tupu!!

kapime ndugu
 
Pole mkuu kwa tatizo.

Green tea ni nzuri pia. Pata pia mboga mboga za majani.

Watu wengine wanasema ni dalili za hernia(mshipa wa ngiri). Jaribu kuwaona madaktari. Ila kwa ushauri tu jaitahidi unywe maji ya kutosha, mboga mboga, matunda laini na yaliyoiva vema kama papai na parachichi.

Pia huwa kuna dawa moja ya kiarabu nzuri sana inaitwa habbat sawda hii unatumia pamoja na asali. Ukifika katika maduka wanapouza dawa hiyo watakuelekeza namna ya kuitumia. Waambie habbat sawda ya chenga si ile ya maji. Inaweza ikakusaidia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom