Mm ni mama wa watoto wawili, nafanya kazi na nimeolewa.
Nikiri tu kwamba nimekua na uhusiano usiofaa na rafiki wa Mr wangu kwa karibu miaka miwili, kituo cha kazi cha Mr ni nje ya dar, kazi zetu ni too demanding kiasi kwamba nafasi ya kutembeleana imekua ni Shida sana, mfano mm nafanya kazi...
Ndugu nyiokunda
Sikupingi kwa hayo uliyosema isipokua jambo moja tu la unazi wa USA, labda Maandishi yangu yamekufanya ukaona unazi ndani yangu, yapo mengi nimejadili nje ya hapa nikiwa upande wa Russia kwenye majukwaa mengine nje ya jf
Kila mada iliyomezani ninaijadili kwa Hali ilivyo...
Bill Clinton alitawala America kipindi kimoja na boris yersin wa Russia, kulikua kimya kabisa, hatukuona shida hizi
Akaja rais George w Bush akatawala America kipindi kimoja na rais putin, hatukuona ugomvi wowote, palikua kimya tu
Then Akaja mwafrika Barack Obama, hapo sasa ndipo tukaona...
Kiongozi ni kweli kuwa Kuna wakati serikali ilibanwa sana mbavu na waasi, hasa mwaka juzi 2014, mwaka huo wote waasi walitwaa maeneo mengi sana na ndio hayo ambayo wameendelea kuyashikilia hadi 2015, nayo ni deir Al zor, hama, homs, Aleppo yote na kobane na raqqar, hii ndio 65%...
Mkuu maelezo ya kiswahili ni uchambuzi wangu ambao ni mjumuisho wa habari hiyo kubwa iliyotoka last week, ni baada ya kusoma na kufuatilia uchambuzi kutoka vyombo vya kimataifa, Russia today, sputniknews.com, the National interest, defense magazine na aljazeera
Chini nikaweka habari...
Asante mkuu wa comment yako
Nimezingatia suala la Muda uliotumika kuikomboa ardhi, na hiyo ni sehemu ya success ambayo nimezungumzia hapo juu
Umeuliza kwa nn
Sababu kubwa ya ushindi au success hiyo katika Muda mfupi ni firepower ya Russia, kabla Russia hajaingia Syria vita vilipiganwa...
Mapenzi ni kitu kibaya sana, mapenzi yamekupofusha kabisa
Sharti kubwa kabisa la Iran kwa marekani ili kuachana na Mpango wake wa nuclear ni kuondolewa vikwazo vya kiuchumi, hii ina maana kuwa vikwazo viliiumiza Iran beyond repair
Hivi sasa Iran inalalamikia marekani kuwa haijatimiza wajibu...
Kaka naheshimu mawazo na uchambuzi wako kuhusu jambo hili,
Labda tu nifafanue kidogo kuhusu hayo unayoyaita mafanikio makubwa ya Russia katika kampeni yake ya Syria
Nimesoma chambuzi nyingi na kuwasikiliza wazungumzaji wengi wakiongea jambo hili na karibu wengi wanasema kampeni ya Russia...
Baada ya Marekani na washirika wake kuzindua mfumo mpya wa kinga dhidi ya makombora karibu na mipaka ya Russia, rais wa nchi hiyo Vladimir Putin na viongozi waandamizi wa taifa hilo waliapa kujibu mapigo, kwamba Russia itajibu mapigo kwa kiwango cha ajabu, kwa kweli walitoa matamshi makali sana...
Yote hii ni jeuri ya pesa, Russia angekua na pesa kama America najua nae angejibu kwa kupeleka silaha kama hizi jirani na marekani, Bahati mbaya hana uchumi wa kambi za kudumu jirani na marekani, vijisenti vyote alivyonihonga navyo wakati wa ussr vilienda na nchi washirika wa umoja huo
Najua...
Ulie mnukuu amesema sawa sawa nikubali ana nae, amesema elungata ni mvuta bange kwa record ya vitu anavyoviongea na wakati mwingine kutunga uongo,
Hivyo akishaingia kwenye mada, mada inaharibika, akasema ngoja ajitokee zake
He was quite right, i agree with him
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.