pastor masumbuko
Member
- Apr 23, 2016
- 67
- 195
Wapendwa nawasalimu
Kama mtakumbuka Rais G. W Bush mwaka 2007 alikuja na mradi wa mwamvuli wa kinga dhidi ya ballistic missiles, lengo likiwa ni kuikinga Ulaya nzima dhidi ya haya makombora kutoka kokote yatakapotokea, pia kuikinga America, tender hiyo ilipewa kampuni ya lockheed martins, kazi ya ujenzi wa system hiyo ulishakamilika tangu mwaka juzi, na kazi ya majaribio ikaanza, siku ya Alhamisi mwamvuli huo wa kinga dhidi ya ballistic missiles ulizinduliwa katika nchi ya Romania ilipojengwa kambi ya ku host mfumo huo, maafisa wa Romania, Marekani na NATO walikata utepe kuzindua system hiyo.
Hata hivyo Russia imegeuka mbogo na imetoa matamshi makali kuhusu sytem hiyo kwamba ni threat kwa usalama wa Russia, kwamba ni mbinu ya Marekani kuizunguka Russia kijeshi, na kwamba itaharibu strategic balance of power katika eneo hilo na hivyo itajibu mapigo kwa wakati muafaka, Rais Putin akizungumza na maafisa wa Wizara ya Ulinzi ya Urusi amesema system hiyo ni kitisho kikubwa kwa Russia hivyo Russia inatafuta njia muafaka za ku neutralise kitisho hichO.
AEGIS SHORE grand air defense system inafanyaje kazi hasa?
Kwa ufupi tu ni kwamba , hii AEGIS SHORE ni mkusanyiko wa defense systems nyingi zimekusanywa kwa pamoja na kuwa intergrated katika nchi kadhaa, kutokana na hii integration radar zake zinachukua eneo kubwa sana, ina multiple radars katika nchi mbalimbali za Ulaya, pia zina sencors katika nchi mbalimbali, na radio signal katika nchi mbalimbali, na makombora yake yapo nchi mbalimbali na sio sehemu moja, kuna tofauti kubwa sana kati ya system hii na zile za THAAD na S-400 ambazo range zake si kubwa kama ya hii AEGIS SHORE.
THAAD na S-400 ni mobile zinaweza kuhamishwa kutokana na mahitaji kama ambavyo THAAD inataka kupelekwa South Korea au S-400 ilivyopelekwa Syria, AEGIS SHORE haipo hivyo yenyewe ni permanently based kutokana na kuwa hizi ni mkusanyiko wa radar nyingi, sencors nyingi, radio signals na makombora ya ku shoot target yakiwa katika nchi mbalimbali, hivyo kuchukua eneo kubwa sana kutokana na components kuwa in different countries.
Hata hivyo hii haina maana kuwa THAAD Haitatumika tena, itaendelea kutumika maeneo mengine kama asia au kuletwa kwenye nchi zenye vurugu.
Sifa kubwa kabisa ya AEGIS SHOW ni ku detect ballistic missiles zikiwa katika space na ku ziharibu hukohuko kwenye space kabla ya kurudi duniani, kama mjuavyo intecont ballictic missiles zinarushwa mbali kwenye space na kusafiri huko huko na kuanza kushuka zikikaribia target, aegis zinatungua zikiwa huko kwa space.
Wasiwasi wa Russia ni nini hasa?
Kutokana na maelezo niliyoyaeleza hapo juu components za AEGIS SHORE ziko katika nchi mbalimbali, na nchi hizo karibu nyingi ni majirani wa RUSSIA mfano ROMANIA, POLAND, SLOVAKIA NA ZINGINE hivyo ni kama mfumo huu umeizunguka Russia, lakini pia Russia inahofu kuwa ipo siku makombora ya system hii badala ya kufanya kazi ya defense yaani ku punch targets yatatumika kwa ajili ya offense na kuishambulia Russia kama first strike hasa kushambulia silaha za nyuklia kama pre emptive strike , na hii ndio hofu kubwa ya russia kuliko ile ya defense.
Pia ikitokea vita kati ya Russia na America na washirika wake, russia inajiona iko katika nafasi ngumu kutokana na kuzungukwa na vikosi vya NATO Kila upande wa Russia na zaidi kuzungukwa na sytems hiyo, kama Russia inarusha intercontinental ballistic missile kwenda Marekani au West Europe ni kwamba radar na sencor za AEGIS SHORE zitapeleka taarifa Marekani kuwa kuna kombora linakuja hivyo interceptor itatumwa kuliunguza likiwa mbali kabisa na Marekani, hivyo kutimiza ile dhana ya America ya vita kutopiganwa katika ardhi yake
Wakati wa uzinduzi wa sytem hii maafisa wa marekani na NATO walisema kuwa mfumo huo umewekwa kwa ajili ya rogue states kama Iran na North Korea na sio tishio kwa Russia, Russia kwa upande wake imepinga madai hayo na kusema kuwa makombora ya Iran hayazidi KM 2000 hivyo hayawezi kufika Europe, pia imedai America na Iran zilimaliza tofauti zao mwaka jana kwa kusaini mkataba hivyo haioni Iran ni kitisho kwa njia gani.
Imesisitiza system hiyo ni kwa ajili ya kupunguza au kuzuia capabilities za Russia hivyo Russia itajibu kwa wakati wake.
Maelezo haya ni tafsiri kutoka vyombo mbali mbali vya habari vilivyoripoti uzinduzi wa AEGIS SHORE huko Romania Alhamisi.
Unaweza kupata coverege ya uzinduzi na uchambuzi wa sytem hii kupitia sputink news, the national interest na france 24 na zingine nyingi
MUNGU AWABARIKI MJADILI KWA HEKIMA
=======================
US Missile Shield In Romania Switched On, Kremlin Calls It ‘Threat To Russia’s Security’
A U.S. missile shield in Romania, which the West sees as vital to protecting Europe from potential ballistic missile threats, becomes operational Thursday. The move, however, has angered Russia, which called it a threat to the country’s security.
The $800 million missile defense system, stationed at the remote Deveselu air base in Romania, is capable of fending off missile threats from countries like Iran that Washington believes could be a cause of serious concern for major European cities. While U.S. officials said the Romanian missile shield was not aimed at Russia, the Kremlin has expressed concerns over the establishment, and said the government had taken measures to ensure the nations’ safety.
“This is a direct threat to us,” Admiral Vladimir Komoyedov, chairman of the State Duma’s defense committee, reportedly told the Interfax news agency. “They are moving to the firing line. This is not just 100; it's 200, 300, 1,000 percent aimed against us. This is not about Iran, but about Russia with its nuclear capabilities.”
The missile shield uses its radars to detect a ballistic missile launched into space while its sensors help measure the missile’s trajectory to destroy it in space before it re-enters the earth’s atmosphere.
Russia, which is furious over its Cold War rival having an advanced military system in formerly communist-ruled eastern Europe, claimed that NATO was trying to encircle it close to the Black Sea, a strategically important region that hosts a Russian naval fleet, Reuters reported.
“It is part of the military and political containment of Russia,” Andrey Kelin, a senior Russian Foreign Ministry official, reportedly said Thursday, adding that the move by the U.S.-led alliance will further deteriorate ties between Moscow and Washington.
The U.S., however, said that Russia should not be threatened by the missile shield, which will be handed over to NATO control in July. According to Douglas Lute, the U.S. envoy to NATO, the missile defense system is not aimed at anything that could be “perceived as potentially destabilizing.”
Meanwhile, Romanian President Klaus Iohannis said that his county wanted NATO to have a “permanent naval presence” in the Black Sea, and called for increased for NATO members in the region, which borders Russia and the Middle East, the Associated Press (AP) reported.
“It is important that a credible and predictable presence can be assured of the Allied forces on the eastern flank, to balance the northern dimension with the southern and eastern flank,” AP quoted Iohannis as saying, after meeting NATO Secretary General Jens Stoltenberg in Bucharest.
Source: ibtimes.com