Recent content by Penda91

  1. P

    JamiiForums Tanzania Majimbo 11 Ambayo UKAWA Wasipoteze Fedha Washapita

    Mkuu hata Siha Mwandry anapumulia Mashine hawezi kushinda Hili naomba liingie kwenye list nina uhakika sababu nipo huku na ni mzaliwa wa huku.
  2. P

    JamiiForums Tanzania TCU/NACTE application 2015/2016 for undergraduate

    Daah nmekosea nkalipa Nacte instead of Tcu wakuu msaada plz
  3. P

    JamiiForums Tanzania TCU/NACTE application 2015/2016 for undergraduate

    Wakuu nmefanya Malipo kupitia M Pesa ili niweze kufanya application kupitia Kamisheni ya vyuo Vikuu lakin sipatiwi Payment Id or vocher msaada cha kufanya kwa anaefahamu
  4. P

    JamiiForums Tanzania TCU/NACTE application 2015/2016 for undergraduate

    Wakuu nisaidieni nmetuma malipo via M pesa but sijapata token kutoka Tcu nafanyaje?
  5. P

    JamiiForums Tanzania Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Akafie Mbele huyu Zaki
  6. P

    JamiiForums Tanzania Je, ulijisikiaje siku ya kwanza ulipoijaribu bangi? Mwenzenu ilikuwa hivi...

    Huo ndo uzuri wa weed ikivutwa kistaarabu
  7. P

    JamiiForums Tanzania Pedeshee maarufu kumuoa mtangazaji wa kiume

    Ben bhana ndo yupogo kimchelemchele
  8. P

    JamiiForums Tanzania Revealed: Chimbuko la utajiri wa Lowassa hili hapa. Je, anafaa kuwa rais?

    Nchi ya Wadanganyika.
  9. P

    JamiiForums Tanzania Msaada

    Wanajukwaa Habarini Najitokeza kuuliza kwa yoyote anaejua kama kuna uwezekano wa kurecover losted form 4 certificate kutoka NECTA na document wanazohitaji kama zipo Asanten.
  10. P

    JamiiForums Tanzania Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    Chizi kalogwa tena.
Back
Top Bottom