Recent content by pembe za ndovu

  1. P

    JamiiForums Tanzania Julius Mtatiro: Nimeona vijana wa bwana yule wanaojiita viongozi wa CUF kunifuta uanachama, hawawezi bado ni kiongozi

    Mtatiro nakukumbuka ulivyokuwa ukisafiri na Prof Lipumba visiwani Rufiji na Kibiti, kwa kweli nitakumis sana baada ya kufukuzwa Uanachama. Ndugu yangu bai bai nakushauri ujiunge na chadema kwa sasa maana hueleweki upo chama gani kwa sasa. Waliokufukuza wapo sahihi sana kwa heri kwa mara nyingine
  2. P

    JamiiForums Tanzania Here comes Daudi Albert Bashite

    Acheni Majungu Makonda baba piga kazi lengo lako wenye uelewa tunalielewa. wewe ni mtetezi wa wanyonge. Mahakama ndiko huko kunakolalamikiwa
  3. P

    JamiiForums Tanzania Update nafasi za kazi za UCSAF

    Hii noma kwa kweli hata mie niliomba nchi hii hatari kila kitu tayari?
  4. P

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha Rais Magufuli kutoshiriki katika kuwaaga Makamanda 14 wa JWTZ waliouawa DRC...

    ni kweli alipaswa kuhudhuria kwa hili hapana
  5. P

    JamiiForums Tanzania Kutoka Dodoma, Mrithi wa Kinana: Shigela, Pereira, Prof. Mkumbo na Dr. Bashiru Ally watajwa

    JAMANI KATIBU MKUU NI NAPE NNAUYE
  6. P

    JamiiForums Tanzania Zitto: Upinzani adui yetu ni CCM, tuweke kando tofauti zetu tushirikiane tuhakikishe kata 3 za Dar CCM haipati hata moja

    Zitto kichefu chefu sijui ni kiongozi wa namna gani, hovyo kabisa
  7. P

    JamiiForums Tanzania ITV mmekuwa zilipendwa. Azam imewapiga bao la kisigino

    tv ya migogoro ya wakulima na wafugaji
  8. P

    JamiiForums Tanzania Nani ni mchumi nguli tena namba 1 hapa Tanzania?

    prof LIPUMBA BADO ANATISHA
  9. P

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Tanzania Daima lafungiwa kwa siku 90 kwa kuandika habari zinazo daiwa ni za Uongo (Oct 2017)

    Umakini ni muhimu sana hasa serikali hii
  10. P

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awatunuku vyeti wajumbe wa kamati za Makinikia; akanusha taarifa za mapato ya Serikali kupungua

    noma sana jamaa, ni nondo kweli namkubali si mchezo
  11. P

    JamiiForums Tanzania Upinzani wa vyama vya siasa vya upinzani ni aibu

    upinzani wa vyama vya siasa na ubinafsi wa Chadema kutaka kuongoza kuanzia ngazi ya kitongoji,kijiji,kata na ubunge kunanipa imani kuwa ccm itatawala milele. Chadema inabidi wakati mwingine muwaachiwe wenzenu wa Upinzani ambao wanakubalika katika baadhi ya maeneo lakini mmekuwa wagumu sana...
Back
Top Bottom