Mkuu unamaanisha walishafanya interview tayari na kyitwa kazini?...kila laheri kwaoProcess zote zimeshafanyika, tarehe 3 December wanaenda kuripoti. Kuna linakaa mtaani linasema limepata post ya administrative and human resource officer
Kwa muujibu wa jirani yanguMkuu unamaanisha walishafanya interview tayari na kyitwa kazini?...kila laheri kwao
Process zote zimeshafanyika, tarehe 3 December wanaenda kuripoti. Kuna linakaa mtaani linasema limepata post ya administrative and human resource officer[/QUOTE
3.12.2017 ni Jumapili, Labda kama wanafanya kazi jumapili,la sivyo utakua unapiga Kamba ili ufurahishe jukwaa