Recent content by Pemba Nkuzuri

  1. P

    JamiiForums Tanzania Kuelekea mechi ya 'VPL' Kagera Sugar dhidi ya Simba SC, Wamezoea Lakini Leo Tunao!

    Mwaka juzi kagera sugar, mwaka jana kagera shuga ala! Watoto wadogo mtusumbue kila uchao. Safari hii mmekula za uso mkalale huko! Hadi ndizi leo zitawashinda kula. Nyaambaf!!
  2. P

    JamiiForums Tanzania Wahujumu uchumi waachiwe huru lakini Masheikh hata taarifa zao zisiripotiwe

    Mkuu unafikiri wale masheikh hawana elimu hiyo unayoipenda wewe? Ni watu na elimu zao. Wana elimu ya dini na hiyo elimu unayoisisitiza wewe pia wanayo. Miongoni mwao kuna injinia wa ndege n.k.
  3. P

    JamiiForums Tanzania Ama kweli Saudi Arabia si chochote kwa Iran

    Mkuu kwani mimi nimesemaje? Mbona nayajua yote hayo uliyoeleza. Hapo nimejaribu kufananisha yaliyotokea Iraq 2003na yale ambayo yangekuja kutokea iwapo Marekani itaipiga Iran.
  4. P

    JamiiForums Tanzania Ama kweli Saudi Arabia si chochote kwa Iran

    Vita ya Marekani kwa Iraq ya kumtoa madarakani Sadam mwaka 2003, ilisababisha maisha magumu sana. Hata hapa Tz tulisaga meno sana. Hela ilikuwa ngumu sana
  5. P

    JamiiForums Tanzania Ama kweli Saudi Arabia si chochote kwa Iran

    Sijasoma uzi wako. Lakini Iran huenda ikasababisha hali ngumu zaidi duniani. Kuishambulia Saudi (visima vya mafuta) nyuma ya mgongo wa Khuth kule Yemen. Marrkani nayo ...............
  6. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta video clip ya Tangazo la Chai Jaba niwape wanangu kama cartoon

    Fatakieehh! Leo wapi? Kulekule kwa jaanaaa!!
  7. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta video clip ya Tangazo la Chai Jaba niwape wanangu kama cartoon

    Mi natafuta lile tangazo la vodacom kuongea kwa sekunde ' abiria anamwambia kondacta wake atalipa sh 75 badala ya 150 kutoka posta hadi moroco. Analipia kwa sekunde!
  8. P

    JamiiForums Tanzania Tuungane kuupinga uonevu wa AzamTv App katika masuala ya kuonesha mechi za soka.

    Azam TV wangetuambia wanataka nini tufanye kunapokuwa na mechi muhimu. Na sio kuchomoa betriii dakika za mwisho kwenye Chanel husika. Jee wanataka tulipie app yao? Waweke utaratibu tuuelewe. Azam TV lioneni hili tafadhali
  9. P

    JamiiForums Tanzania Salary Slip ya Mtumishi Imenihuzunisha sana.....

    Mhhhhh! Vumilieni
  10. P

    JamiiForums Tanzania UKIMWI unavyotafuna vijana

    Mkuu hali inatisha wakati huo huo watu wengi bado wanachukulia masihara
  11. P

    JamiiForums Tanzania Nukuu 25 za Shaaban Robert kutoka katika riwaya ya kusadikika.

    21. Ng'ombe akivunjika mguu malishoni, hujikongoja zizini kusaidiwa.
  12. P

    JamiiForums Tanzania Kuna faida yake ukistaafu Siasa na kuendelea kufanya shughuli binafsi

    Mwisho wa binadamu ni udongo
  13. P

    JamiiForums Tanzania Historia ya neno Msela na Baharia

    Ujinga tu na utoto.
  14. P

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Agosti 2019

    Mkuu mi najuaje? Wapi na wapi!!
  15. P

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Agosti 2019

    Kipenga kimelia sasa. Dadaadeki
Back
Top Bottom