Recent content by Pelembe

  1. P

    Tendo kinyume na maumbile lavunja ndoa iliyodumu kwa miaka 35

    Hii ndo njia inayotumiwa na wanawake wanaotaka kuachika lkn hawana sababu zenye mashiko.Wengi wao hutamani mgao wa mali.
  2. P

    Huyu kanichosha

    Kuonana na viongozi wa dini ni shauri mbovu zinazoshauriwa kwa wengi.Viongozi hao wa dini nao wana matatizo lukuki ndani ya ndoa zao watawezaje kutatua changamoto za wengine? Mwanaume halisi maamuzi huyatoa bila kuogopa ama kufikiria kuwa jamii yaweza kukutenga.Huyu kiumbe aliyeelezewa na huyu...
  3. P

    Nimeanza na Kuku wa kukaanga

    Huwezi ukawa na uelewa mzuri wa biashara ikiwa haujawai kufanya hiyo biashara.
  4. P

    Mwanamke ni mzuri na mpole akiwa ni mama mzazi.Ni kiumbe hatari akiwa mke na ni hatari zaidi akiwa mke anayemiliki ndoa kupitia cheti cha ndoa.

    Akiwa mama ana mapenzi makubwa kwa watoto wake hususani wa kiume. Hapendi kuona watoto wake wakipata shida.Hujitaidi kuhakikisha kuwa watoto wanakuwa na furaha kwa kadiri atakavyoweza.Upendo anaouonesha mama kwa watoto huwa ni wa kweli kiasi kwamba hupelekea watoto kuwa mbali kabisa na baba...
  5. P

    Mke wa mtu aning’ang’ania

    Miaka thelathini na sita bado hujitambui! Umri huu unatakiwa kutoa ushauri wa vijana kuachana na mambo hayo na wala si wewe kuomba ushauri wa kipumbavu hivi.
  6. P

    Tanzania imepoteza $370M miaka ya Makanikia

    Hakuna hasara kwakuwa dhahabu yetu bado ipo ardhini
  7. P

    Nishauri: Mke wangu kanijibu yeye ni mrembo, anatongozwa kila siku na kunambia maisha anayaweza sio lazima kuwa na mimi

    Mkuu huyo sio mke bali Shetani mwenye umbo la binadamu wa kike. Njia bora kabisa ya kuwaumiza adui wako ni kukaa kimya wao wanapoongea. Ushindi utapatikana kwako kwakuwa ukweli hauna tabia ya kukaa mafichoni. Mambo yanayosemwa kuhusu wewe na ikawa sio ya kweli hautakiwi kuumia. Ukiumia kwa mambo...
  8. P

    January Makamba akifukuzwa natembea uchi Dar nzima

    Eleza lini unaanza kutembea uchi nikuunge mkono?
  9. P

    Kama una miaka 40+ na unaye baba mzazi jihesabu ni mwenye bahati.

    Ikiwa una miaka 40+ na baba yako mzazi yupo,mtumie vizuri. Mama yangu mzazi na mama mdogo yaani mke mdogo wa baba waliniteka kwa kunishawishi na kuniaminisha kuwa baba yangu ni mtu asiyefaa na ni mojawapo wa wanaume walioshindwa kulea ama kutunza familia akiwa kijana. Niliwaamini nikamtenga...
Back
Top Bottom