Recent content by Pehraa

  1. Pehraa

    JamiiForums Tanzania Chid Benzi kawa kama zamani big up kwake

    Sio kwa madawa ya kulevya tu, hadi nyeto na kila aina ya ulevi.. Hivi vitu vinatupunguza akili ndo mana hatuendelei.
  2. Pehraa

    JamiiForums Tanzania Kitu gani kilichosababisha kuwepo na binadamu wenye rangi tofauti tofauti?

    Wenzetu wanajichubua tuu ila wako kama sisi 😎
  3. Pehraa

    JamiiForums Tanzania Yesu atakaposhuka duniani atashuka huku ameketi kwenye kiti cha dhahabu

    Tutaigizana mkuu we hukumbuki sku ya kwanza shule ya sekondari 😶
  4. Pehraa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wenye ndoa yenye watoto tu: Je mwanao alishawakuta kimakosa mkiwa faragha? Ulichukua hatua gani?

    Wakuu kwanini tusiwapulize watoto dawa ya ucngizi ikifika ile mida yetu ya 😋
  5. Pehraa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sumu inayowaua wanaume

    cc Pehraa..
  6. Pehraa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mambo ya Ndoa: Mkiwa na Amani inakuwa raha sana kwa kweli, Ishu ni kui-maintain hiyo Amani

    Hapo kwenye sauti la base mnanikumbusha Mwajuma ndala ndefu wa original comedy😄🤣
  7. Pehraa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hiki ndicho kinachosababisha naonekana kuwa nina upungufu wa nguvu za kiume

    🤣
  8. Pehraa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tabia mbaya au nzuri ya mwanamke haitokani na kabila lake, usipotoshwe

    Uzaonga sana..
  9. Pehraa

    JamiiForums Tanzania Hivi ni nani aligundua kuwa kumbi kumbi wanaliwa..

    Min ~me ni mchaga na Tate Mkuu ni msambaa bila kusahau Seth saint ni mhaya.. Haya tuendelee na mada ..
  10. Pehraa

    JamiiForums Tanzania Kilichonipa huzuni kuu kwenye iftari ya Mkuu wa mkoa wa Arusha Bwana Makonda

    Hayo ndiyo maisha.. Na dunia ni duara.. .. ukionacho leo kilikuwepo zamani na cha zamani kilionekana kama leo.
  11. Pehraa

    JamiiForums Tanzania Hivi, uislamu uliwahi kuleta nini?

    Kwa kifupi niseme uislamu ni dini ambayo imeleta mafunzo ambayo yamekuwa na tija kubwa kwa maisha ya binadamu.. Mtume swallallaahu alaihi wasallam alisema: "KATIKA MAZURI YALIYOPO NDANI YA UISLAMU NI MTU KUACHA LISILOMHUSU." Pia uislamu ulishawishi sana watu wake kuwa na tabia nzuri ..na katika...
  12. Pehraa

    JamiiForums Tanzania Ni jambo gani watu wanalifanya sana lakini wewe huwezi?

    Kutongoza.. Wakijipitisha mi namwaga hela, Asante 🙏
  13. Pehraa

    JamiiForums Tanzania Ijue tofauti ya Member na Senior Member ndani ya JF

    Je min ~me?
Back
Top Bottom