Recent content by Pedezyee

  1. Pedezyee

    JamiiForums Tanzania Kupiga bao kunasababisha upofu au ugonjwa wa macho?

    Kwa ninavyofaham upofu hutokana na kutumia dawa zavidonge vile vyakuongeza nguvu at once ile wakat wakuduu hasa Viagra!
  2. Pedezyee

    JamiiForums Tanzania MBA evening programme UDSM

    mkuu nashukuru saana kwa hii information japo ni yazamani but imenipa mwanga wakujua pakuanzia na nimekua admited n by 22 ya mwez huu ndo twaanza classes!!
  3. Pedezyee

    JamiiForums Tanzania kwanini wanawake hampendi kutumia condom

    Ntachangia kesko leo jumapili siku takatifu sana hatutakiwi kujadili mambo ya dhambi!
  4. Pedezyee

    JamiiForums Tanzania Bellamy Brothers - Beautiful Body

    Enzi hizo nko primary I use ti like dis song japo lyrics sikua nazzifaham but naupnda sana japo naupiga mara nyingi hauniboi!
  5. Pedezyee

    JamiiForums Tanzania Photos of Celebrities' Plastic Surgeries that have Gone Wrong

    Amanda alifanyiwa china au? $
  6. Pedezyee

    JamiiForums Tanzania Faida za ulaji wa pilipili kwa mwili wa binadamu

    Faida za pili pili ni nyingi huzuia uwezekeno wa mtu kupata kiharusi, disadvantage yake ni humfaanya mtu akose pumzi kama ni mtumiaji wa mda mrefu afu na ni mvivi wa mazoez haifai. Kwan utashangaa cku ukikimbia distance ndogo tu utahema ka ulikua wakimbia 456km/h! Inafaida sawa na -----
  7. Pedezyee

    JamiiForums Tanzania Nyimbo bora za mapnezi kwa ajili ya mwenzi wako...

    hahaha umefurahsha sana mkuu! Hapo lazma aote ndoto njema!
  8. Pedezyee

    JamiiForums Tanzania why udsm...school bus....watu wanalipa nauli..ya usafili ..wakati its school bus.....

    dah umenkumbusha na shato pori!!
  9. Pedezyee

    JamiiForums Tanzania importance of body beauty in choosing a partner,body beauty should be a secondary factor or primary?

    i think hapa ndo utaelewa nini cha muhimu zaidi !
  10. Pedezyee

    JamiiForums Tanzania Je, unakumbuka ulivyokuwa ukifikiria ulipokuwa mtoto?

    hapa tulikua na mawazo sawa ila nlikuzaidi eti mtu akitoka na makamasi ndo ubongo unapungua na akili zinaisha...
  11. Pedezyee

    JamiiForums Tanzania Mnisameheee

    mtikila achukue nafasi yake mnisameee
  12. Pedezyee

    JamiiForums Tanzania Mnisameheee

    vampire...
  13. Pedezyee

    JamiiForums Tanzania Mnisameheee

    ongesa idadi ya kuku....
  14. Pedezyee

    JamiiForums Tanzania Mnisameheee

    metumwa na alshabab ee..
  15. Pedezyee

    JamiiForums Tanzania kichekesho kifupi ulimwenguni.

    nimeona character za u "great thinker" kwako..... very funny
Back
Top Bottom