Mnisameheee

Mnisameheee

Natamani hii thread ihamishiwe jukwa la siasa mnisamehee
 
natamani masharobaro waolewe mnisamehe .......................................... natamni kongoro la kitimoto mnisamehe...........................
 
Hahahaaa tumekusamehe kabsaaa mzee wa hamii forums
 
natamani chadema washinde harumeru..........mnisameeeeee!....
 
Watu wazima wanapokaa pamoja huwa kama watoto. Mnisamehe.
 
:scared::bump2:Natamani Tanzagiza iendelee kuwa nchi ya majuha .........mnisameheee!:mullet:
 
Napenda hamii forums isingekuwepo mnisameheee

Napenda watu wote wangekuwa wchina mnisameheeeeeee

............…….… mnisameheeeeeeee

Searching...100%
Loading...0%
Network failed !

Kuna haja ya kumtafuta mwalimu wako wa Kiswahili.
 
Back
Top Bottom