Ni ukweli kabisa ndio maana mtu unashauriwa uoe mwanamke unayemzidi yapo miaka kumi, hii itakuepusha kuchepuka aisee, wanazeeka sana mapema hawa wanawake hasa akikosa matunzo utamkimbia.
Kwanza jamaa ni jembe, napenda wanaume wenye msimamo ambao hawayumbishwi ukisema no ni no. Mimi sipendi watu waongo akishaaribu protocol zangu basi imepita, jamaa achane naye huyu mwanamke ni tapeli tuu atakuja kumsumbua.
Wana jf. Mimi fikira zangu zinaakisi kwamba rasimu ya katiba bado ina ubikira, Katiba imekuwa na itikadi za kivyama mimi falsafa yangu naona hakuna chama ambacho kiko loyal kwenye suala la katiba.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.