Naombeni ushauri jinsi ya kumsahau

Naombeni ushauri jinsi ya kumsahau

Habari wana mmu
Mimi ni msichana wa chuo na nilikua na mpenzi wangu toka kipindi tupo high school nilitokea kunpenda sana na nilimwamini sababu alikuwa na mapenzi ya dhati,kila nilipomwitaji alkuwa pamoja na mimi.Alinitambulisha kwa ndugu na rafiki zake wote hadi kunipeleka kwao nikaamini ananipnda so nikakubali anitoe bikra yangu sababu niliamini ndio mume wangu kwa mapenzi aliyononyesha.Baada ya muda nimekuja kujua ananicheat kwa miaka mingi na ana wasichana wengi sasa sijui nifanye nini nashindwa kumwacha sababu nampenda sana nimejaribu nashindwa naombeni ushauri wenu nifanye nini ili niendelee na maisha yangu nimsahau kabisa?

Aseee poleee .... mama yan stor yako na yanguu ni the same .... bora wew mie mwenzio had rumet wng katembea nae bt baada ya mateso ya muda mrefu hatimae niko poa sa hviii an i don care wht h z doing nasoma zangu japo alinisababishia misap meng ndo nasomakuyatolea kuleee .... ckushangai mamang zaid jikp busy ... kuwa na marafk wanaokukp busy pia .... Mungu mrudieeee anaondoa machungu yote ukimtumain yey.......... hayooo tuuu
 
Siwezi kumtafuta mwingine yaani nampenda sana sioni wa kuziba pengo lake lakini nashukuru kwa ushauri

Endelea kuumia ndo unakomaa kimapenzi ivo... fill the pain moyo uume ukishakomaa utamuacha na utajua n utoto tu uo
 
Siwezi kumtafuta mwingine yaani nampenda sana sioni wa kuziba pengo lake lakini nashukuru kwa ushauri

Sasa uliomba ushauri wa nini kama tayari una msimamo wako?By the way endelea kuteseka wakati mwenzako anakula ujana
 
Npm nikusaidie kumsahau for ua own risk
 
Mwambie unampenda sana na akikuacha utakula sumu!
 
Siwezi kumtafuta mwingine yaani nampenda sana sioni wa kuziba pengo lake lakini nashukuru kwa ushauri

Huwezi? We unataka ushauri gani? Endelea nawe ila ni vizuri ukajua mpo wangapi na ujue ratiba za jamaa katika mizunguko ya madem zake!
 
Habari wana mmu
Mimi ni msichana wa chuo na nilikua na mpenzi wangu toka kipindi tupo high school nilitokea kunpenda sana na nilimwamini sababu alikuwa na mapenzi ya dhati,kila nilipomwitaji alkuwa pamoja na mimi.Alinitambulisha kwa ndugu na rafiki zake wote hadi kunipeleka kwao nikaamini ananipnda so nikakubali anitoe bikra yangu sababu niliamini ndio mume wangu kwa mapenzi aliyononyesha.Baada ya muda nimekuja kujua ananicheat kwa miaka mingi na ana wasichana wengi sasa sijui nifanye nini nashindwa kumwacha sababu nampenda sana nimejaribu nashindwa naombeni ushauri wenu nifanye nini ili niendelee na maisha yangu nimsahau kabisa?

pole sana, muombe asiwe ana kucheat, na ukimfumania jifanye kama hujaona, mpaka akili yako itakapofunguka
 
Aseee poleee .... mama yan stor yako na yanguu ni the same .... bora wew mie mwenzio had rumet wng katembea nae bt baada ya mateso ya muda mrefu hatimae niko poa sa hviii an i don care wht h z doing nasoma zangu japo alinisababishia misap meng ndo nasomakuyatolea kuleee .... ckushangai mamang zaid jikp busy ... kuwa na marafk wanaokukp busy pia .... Mungu mrudieeee anaondoa machungu yote ukimtumain yey.......... hayooo tuuu

Thanks alot nitajitahidi nijikip busy najua nitamsahau tuu
 
pole sana fata hii itakusaidia kama mimi
1-futa namba yake.
2-usipende kukaa peke yako sana tumia mda. mwingi kujichanganya na friends zako or ndugu.
3-kuwa busy kwenye mambo yatayokuletea maendeleo.
La ziada-jitahidi kuondoa mazoea i mean kama kuna mda flan huwa mna wasiliana or night basi kipindi hiki ni bora ulale or ufanye jambo ambalo litakava iyo nafasi.
 
Habari wana mmu
Mimi ni msichana wa chuo na nilikua na mpenzi wangu toka kipindi tupo high school nilitokea kunpenda sana na nilimwamini sababu alikuwa na mapenzi ya dhati,kila nilipomwitaji alkuwa pamoja na mimi.Alinitambulisha kwa ndugu na rafiki zake wote hadi kunipeleka kwao nikaamini ananipnda so nikakubali anitoe bikra yangu sababu niliamini ndio mume wangu kwa mapenzi aliyononyesha.Baada ya muda nimekuja kujua ananicheat kwa miaka mingi na ana wasichana wengi sasa sijui nifanye nini nashindwa kumwacha sababu nampenda sana nimejaribu nashindwa naombeni ushauri wenu nifanye nini ili niendelee na maisha yangu nimsahau kabisa?

Kama hajakuacha pamoja na kuchepuka sana, usimwache huyo ana real love. Hao wengine watakuja na wataondoka.
Jambo la msingi ni kaa naye msemezaje muulize anapendelea nini au vitu gani vinamkera ktk uhusiano wenu. Maana sie wanaume mara nyingi si watu wa kusemasema mara tuonapo tatizo.
 
pole sana fata hii itakusaidia kama mimi
1-futa namba yake.
2-usipende kukaa peke yako sana tumia mda. mwingi kujichanganya na friends zako or ndugu.
3-kuwa busy kwenye mambo yatayokuletea maendeleo.
La ziada-jitahidi kuondoa mazoea i mean kama kuna mda flan huwa mna wasiliana or night basi kipindi hiki ni bora ulale or ufanye jambo ambalo litakava iyo nafasi.

Nashukur sana kwa ushauri ubarikiwe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom