Tayari Manowari za Kivita zenye ndege za kutosha, zimeaanza kuelekea Middle East
Nimesoma source moja, hadi ndege zinazojaza mafuta ndege nyingine angani zimeshasogezwa hapo Middleeast
Kifupi RUSSIA kawasaliti allied wake wote VENEZUELA, CUBA na IRAN.
Sijui Viongozi wa Afrika wanakubaligi...
Kim nimejifunza baada ya October 29 2025,
1. Masilahi ndio anguko la Utawala wa Ayatollah (mafuta + gase)
2.Vikwazo vikubwa inavyovipata kutoka west
3. Aftermath ya vita yake na Israel, gharama kubwa ya Iran iliyoitumia kutengeneza siraha ijihami dhidhi ya west na israel
4. Kizazi kipya...
Katika kitu cha kuomba Mungu siku zote Katika nchi yetu ni kuomba sana Mungu atuondolee wasomi wapumbavu
Ambao hawana msaada kwa jamii zao, halafu ajabu ni kwamba serikali zetu Afrika inawapiga vijana kama Malisa G na kuwakumbatia sampuli kama hii
Siamini kwa asilimia 10
Tatizo sio Samia, tatizo lipo kwenye mfumo wa siasa za nchi. Chama kujifungamanisha na tasisi za serikali muhimu kiasi kushindwa kujitofautisha.
Hii itaisha kwanza kwa kutoka katika Dola la Vyombo vya jeshi na kuwa dola la kiraia.
Na dawa muhimu ni mabadiliko ya...
Labda kama sikuwa na akili timamu wakati huo wa hayo yanaendelea
Kuna speech moja wa aliekuwa President wakati huo akitaamka kabisa hadharani "Zimbabwe ni ya kwake"
Na alikuwa na uwezo wote kuzuia yaliyotokea lakini aliyafanya kama Political rhetoric hili aendelee kuishi madarakani mpaka...
Nakumbuka mahali ilipokuwa taifa la Zimbabwe, Mshua aliwahi kufika huko miaka 1990s. Alitueleza mengi sana na kulikuwa na products za Zimbabwe kimasoko zilifika hadi hapa nchini.
Shida ilianza viongozi kuanza kukosa sera na mikakati ya kuendeleza nchi yao, na kuanza kutafuta adui wa nje...
Niliota kulikuwa na Ndege Aeroplane ambayo inataka kufanania na Gulfstream lakini ilikuwa imepakwa rangi za jeshi
Lakini kwenye ndoto hiyo, ndege ilikuwa juu kwenye Mlima mkali wenye makorongo, na ndege hiyo ilikuwa inajaribu kupaa ili iondoke kwenye Mlima huo.
Nikawa nawaza kwenye hiyo ndoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.