Sielewi wairan wanaandamania nini?

Sielewi wairan wanaandamania nini?

Kim nimejifunza baada ya October 29 2025,

1. Masilahi ndio anguko la Utawala wa Ayatollah (mafuta + gase)

2.Vikwazo vikubwa inavyovipata kutoka west

3. Aftermath ya vita yake na Israel, gharama kubwa ya Iran iliyoitumia kutengeneza siraha ijihami dhidhi ya west na israel

4. Kizazi kipya cha kileo ambapo kwa asilimia kubwa sana hakikushuhudia kipindi cha Shah.

5.Gharama kubwa ambayo Iran inatumia katika kile anachokiona ukombozi kwa allied wake. Vikundi vya Harakati

N.K
 
Kuna nchi gani ya chini ya Sahara inaifikia maendeleo Iran? Maana huyo amesema ipo kama nchi za Afrika tu

SA, Botswana, Namibia. Wewe hapo ulipo una uhuru na fursa nyingi kuliko wairan pamoja na udikteta wote wa Samuya. Waulize wairan wenyewe waliotoka kwenye ile hell wakupe ukweli. Hawataki kurudi hata kusalimia.
 
Hawa watakuja kujuta kama Walibya tu.

Kwa tuliowahi kuishi Iran tunajua kule viongozi wao na wananchi wao wana msemo wao kwamba "Iran is made for Iranians".... huo msemo hutumika kulenga kwenye rasilimali zao kwamba zipo kwa ajili ya kunufaisha Wairan

Kule Iran mafisadi hukiona cha moto, wavunja sheria wanashughulikiwa haijalishi we ni bilionea au nani ukiwepa kodi au kutakatisha pesa au ukiibia nchi mapesa ukaenda ficha nje unakula kitanzi tena hadharani.

Vyakula ni bei rahisi sana, ukiwa na milioni moja ya Bongo pale Iran unasavaivu mwaka mzima, vyakula ni bei chee sana hususan mchele tena ule wa Basmat.
Kwa ambao ni wachanga nawakumbusha tu kuwa Ni wairan hao hao waliandamana kumtoa Shah wakitaka mfumo wa Kiislam, ni Wairan hawa hawa walipiga kura ya maoni kwa asilimia 95 wakitaka nchi yao iongozwe na mfumo wa kiislam kwa kiasi fulani....
Gesi, mafuta ni bei rahisi sana umeme ni masaa 24, huduma za afya zipo vizuri sana kule mtu kufa kwa kukosa dawa au matibabu ni nadra sana kitiba wapo vizur sana.

Watu wanapata vitu vya msingi karibia vyote ndo maana hawakimbii nchi yao.. Changamoto ambayo ipo ni vikwazo tu na suala la ajira lakini serikali inatoa fungu la kila mwezi kwa wasio na ajira.

Ukiangalia ndo nchi yenye wanasayansi wengi wanawake wa kule ni wasomi sana.

Wana viongozi wazalendo ambao hawauzi bandari zao kwa mikataba ya kibwege,hawauzi gesi na madini kwa kubadilishana na condom na vilainishi kama huku.Venezuela ni kama tz tu nchi ilikua inaendeshwa kihuni watu wanatekwa hali mbaya na ufisadi wa kutisha....

Sijui wanaandamania nini? Matatizo yao wanafahamu fika yanasababishwa na vikwazo.....Imagine Iran wasingekua na vikwazo wangekua level ya Japan...

Sisi ndo tunapaswa kuandamana maana hii nchi yetu imeoza kila pahali, ccm wameigeuza hii nchi kuwa mnada na chaka la upigaji, huu ujinga huwezi kuukuta Iran...Na mazuri yote wanajazwa upepo waandamane...

Libya,Iran, Qatar, Kuwait, UAE,Oman ndo nchi ambazo watu wake hawapaswi kuandamana kabisa maana viongozi wao ni wazalendo na wameleta maendeleo makubwa sana

My take:Wairan watajuta mara elfu zaidi ya walibya....Hawajui wanachoandamania....
Jibu kwanza hili
Tukuulize wewe miaka 64 ya uhuru kwanini nchi yako ni maskini ??

Hili swali rais wako mmoja alijibu hajui

Kabla ya kutafuta kujua mambo ya nchi inayojulikana wazi hamna uhuru
 
Back
Top Bottom