Kama wameanza kuwaoza mabinti wao kwa watu weusi, bac hawana ubaguzi! Kama wameanza kuwatendea vizuri wafanyakaz wa ndani kutoka indonesia bac watakuwa wameacha ubaguzi! (kuwa profesa sio kuwa na hekima)
IF U HAVE NOTHING TO SAY, BETTER TO SAY NOTHING; Christopher Columbus. Kuwa professor sio kuwa na hekima, hapo ni kulilia tende na mbuzi wa kutoka SAUD. Ugonjwa wa kujikomba kwa watu weupe umetuathiri sana!
Hivi bado watasimama majukwaani na kusema nchi yetu ina amani? Ukweli ni kwamba serikali ya ccm ya awamu ya nne ndio imeleta haya yote! IKO WAPI AMANI WAKATI TUNAFANYA IBADA KWA HOFU YA MABOMU? JK UTAINGIA KWENYE HISTORIA YA KULETA MACHAFUKO NCHI HII.
Jitihada zenu za kumtetea kinana kwamba hausiki na ivory trade ni bure! Kwani kwa watanzania kinana ni jangili wa tembo wao, huo ndio ukweli na wananchi ndicho wanachokisema. Mteteeni kwa kila neno lakini mjue wananchi wamepoteza imani na ccm yenu kwa ufisadi wa raslimali za nchi...
CCM,wananchi tunataka mjibu hoja kugawiana vitalu vya uwindaji, kuhusu OBC kule loliondo,kuhusu dentist wa tembo kinana na mengineyo. Nchimbi kusema wapinzani waongo bila kujibu hoja zao ni kuonyesha kwamba hamna majibu sahihi. Serikali ya ccm ndio mna husika na ufisadi wa nchi hii.
UKWELI...
nchimbi, huna aibu? kwani ufisadi unaofanywa na chama chenu nani asiyejua? hivi unataka kuwaaminisha watz kwamba kinana hausiki kuhujumu tembo wetu? kwamba hamkuuza twiga wetu? nyinyi viongoz wa ccm ni aibu sana! mnaifilisi nchi hii ili mkaishi wapi? ni bora mkoloni mweupe kuliko mkoloni mweusi...
Washington ndio mambo yote, lile bango kuwekwa pale ndio mwake. Acheni unafiki,nyinyi ndio mnaoichukia marekani halafu mnahangaika kutaka viza za kwenda huko, ILE NDIO USA KIBOKO YA WALE WENYE MLENGO.......
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.