Recent content by peace lady Tz

  1. peace lady Tz

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu kuhama chuo......

    Sawa mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  2. peace lady Tz

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu kuhama chuo......

    Jamani msaada wenu wana jf kwa anayefahamu jinsi ya kuhama chuo. Mim ni mwanafunz Wa UDOM mwaka Wa kwanza nataka kuhamia mwl nyerere, Sababu kuu ya kuhama Mama yangu ni mgonjwa sana nahitaji kuwa naye karibu coz hakuna mtu wa kumhudimia nyumbani, je kuhama kwa semista ya kwanza inawezekana au...
  3. peace lady Tz

    JamiiForums Tanzania Kubugi maana yake nini?

    Kubugi ni neno la kimsimu lenye maana ya kukosea au kwenda kinyume na jambo Fulani..
  4. peace lady Tz

    JamiiForums Tanzania Kubugi maana yake nini?

    Hah hah hahaa c ndo unazidi kumchanganya zaidii MKUU, msamiati juu ya msamiati
  5. peace lady Tz

    JamiiForums Tanzania Ushauri huhusu kozi ya bachelor of education in Early childhood

    Anasema competition ilikuwa kubwa sanaa akaamua aombe hiyo coz sasa amepata lakini hapa nyumbani hatuelewii kama ni kozi yenye ajira au laa... Nashindwa hata kumshauri kwa kwelii
  6. peace lady Tz

    JamiiForums Tanzania Ushauri huhusu kozi ya bachelor of education in Early childhood

    Asantee nimekupata MKUU
  7. peace lady Tz

    JamiiForums Tanzania Ushauri huhusu kozi ya bachelor of education in Early childhood

    Habari zenu wana jf mm Nina Mdgo wangu amechaguliwa Udom bachelor of Education in Early childhood, naomba ufafanuzi kwa anayeifahamu vizuri hii coz kuhusu ajira zake na changamoto zake pia na je ni kozi nzurii ya kusoma? au akifika chuoni abadilishe tu asome coz nyingine...???? Asanteniii....!
  8. peace lady Tz

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu kozi ya Records management ngazi ya degree

    Asantee sana MKUU kwa kunifumbua macho
  9. peace lady Tz

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu kozi ya Records management ngazi ya degree

    Vp ajira zake zinapatikana MKUU au ni changamoto ?
  10. peace lady Tz

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu kozi ya Records management ngazi ya degree

    Habari zenu wana jf naombeni ushauri Wa kozi hii ya Records management. nimechaguliwa coz ya recods katika chuo cha utumishi Wa umma ngazi ya degree kwa anayeifahamu naomba anielezea upatikanaji wake Wa ajira upoje na changamoto zake, je ni kozi nzurii ya kusoma au la?
  11. peace lady Tz

    JamiiForums Tanzania Nakufa na stress za kukosa chuo

    Bado hawajatoa mm nmetokakuwapigia cm mda cmrefu nmeongea nao wamesema bado hawajatoa tusisikilize maneno ya mitandaoni
  12. peace lady Tz

    JamiiForums Tanzania Nimeota hii ndoto zaidi ya Mara 30, Nini maana yake?

    Daaaah hii kitu hata mm inanitokea sanaaaa yani nmeishafanya mtihani Wa form6 lakin najikuta naota nakaribia kuingia kwenye mtihani ila cjajiandaa cjui had Leo ndoto hii ina maana gani
Back
Top Bottom