Ushauri kuhusu kuhama chuo......

peace lady Tz

Member
Sep 4, 2018
19
6
Jamani msaada wenu wana jf kwa anayefahamu jinsi ya kuhama chuo. Mim ni mwanafunz Wa UDOM mwaka Wa kwanza nataka kuhamia mwl nyerere, Sababu kuu ya kuhama Mama yangu ni mgonjwa sana nahitaji kuwa naye karibu coz hakuna mtu wa kumhudimia nyumbani, je kuhama kwa semista ya kwanza inawezekana au had nimalize semista zote mbili? Na Utaratibu wa kuhama upoje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom