Ushauri huhusu kozi ya bachelor of education in Early childhood

peace lady Tz

Member
Sep 4, 2018
19
6
Habari zenu wana jf mm Nina Mdgo wangu amechaguliwa Udom bachelor of Education in Early childhood, naomba ufafanuzi kwa anayeifahamu vizuri hii coz kuhusu ajira zake na changamoto zake pia na je ni kozi nzurii ya kusoma?
au akifika chuoni abadilishe tu asome coz nyingine...???? Asanteniii....!
 
hiyo ni kozi ya elimu hivyo kama anasomea ualimu sawa tu haina shida..katika elimu mimi binafsi naona kozi zote ni kama sawa maana kazini ikitokea promotion hawaangalii ulisoma kozi gani wanaangalia una kiwango gani cha elimu??? maana hata akisoma kozi hiyo bado atasoma masomo ya kufundishia

Kozi za elimu tunaweza kuzigawa katika makundi mawili tu...
1.kozi za sayansi ambazo ndiyo bora zaidi.
2.kozi za arts ambazo sasa hizi ukuajiliwa kwa sasa ni kudra za ALLAH
 
hivi alifikiria nini adi akaandika hiyo kozi wakati wa Ku apply ? vijana siku hizi hawafati ushauri wakati wa kuapply
 
Asantee nimekupata MKUU
 
hivi alifikiria nini adi akaandika hiyo kozi wakati wa Ku apply ? vijana siku hizi hawafati ushauri wakati wa kuapply
Anasema competition ilikuwa kubwa sanaa akaamua aombe hiyo coz sasa amepata lakini hapa nyumbani hatuelewii kama ni kozi yenye ajira au laa... Nashindwa hata kumshauri kwa kwelii
 
Ni kozi ya ualimu watoto wadogo au chekechea
Anasema competition ilikuwa kubwa sanaa akaamua aombe hiyo coz sasa amepata lakini hapa nyumbani hatuelewii kama ni kozi yenye ajira au laa... Nashindwa hata kumshauri kwa kwelii
 
hivi alifikiria nini adi akaandika hiyo kozi wakati wa Ku apply ? vijana siku hizi hawafati ushauri wakati wa kuapply
Wew umesoma koz gan?? Tuanzie apoo, ivi unajua rais wako alianza kusoma ualimu??? Muwe mnaacha mambo ya kutoto bas
 
Hongera sana kwa kuchaguliwa kozi yenye frusa nyingi sana katika sekta ya elimu. Huyu ni mwalimu anaye andaliwa kuwa mwl wa vyuo vya elimu awali lkn husoma Somo moja LA kufundishia secondary MF physics, history n.k ili ikitokea kuna ushindani katika ajila anaajiliwa secondary
 
Back
Top Bottom