peace lady Tz
Member
- Sep 4, 2018
- 19
- 6
Bado hawajatoa mm nmetokakuwapigia cm mda cmrefu nmeongea nao wamesema bado hawajatoa tusisikilize maneno ya mitandaoni
Wap ambao bd awajatoa mkuuuBado hawajatoa mm nmetokakuwapigia cm mda cmrefu nmeongea nao wamesema bado hawajatoa tusisikilize maneno ya mitandaoni
Inaonekana sikuhizi vijana hawaelewi wanachotaka kusoma, hafu akipata na akamaliza digrii yake anaanza frastruationUmeona hapo, dogo mwenyewe ajielewi hata alipokosa siku shangaa angalia koz anazochaguaView attachment 880187
kama me tuu, hapa nmekosa chuo nabaki nashangaa tuuMaisha haya kweli ni kuzungumkuti.....kuna graduates wanajilaumu kwa muda walioupoteza chuo lakini kuna wengine sasahivi wanahaha kutafuta vyuo na wanapoona kuna dalili ya kukosa wanachanganyikiwa kabisa..
Inavyoelekea huyo dogo kapata F ya maths o'level sasa round ya kwanza alivyochagua kozi hizo akakosa kwa sababu zinahitaji uwe na credit ya maths either o level au advance..dah sasa ndo akaamua achukue kozi za kisanii kabisa kwa third roundNdio hivyo ndugu ningeweza kumshauri sema me masomo yao siyajui angekua amesoma science ingekua rahisi kumsaidia pia na epuka lawama akikosa asije kusema nilimuharibia
so sadHakuna kozi za hovyo ndguInasikitisha sana mtu kuchagua program za hovyo.
Mm siwezi kumlaumu sana uyo boy wake ila namlaumu mlengwa coz yy ndo mwny dream yake mwnyw ko km ameona kumsikiliza boy wake kuliko kufata dream ake napo sawa tyu mkuu ww ata akikwambia umuombeee coz gan ww fanya atakuja kujuta mwnyw mbelenKuna Boy wake ametangulia huko mwaka jana , ndio anamjaza ujinga , wa kuchagua madude hayo alafu cha ajabu ameomba chuo kimoja tu.View attachment 880592
Uyo jamaaa n loss kaka hahahahhahhaha ety kozi za kisenge hahahhaah uyo jamaaa n zero sana uyoAmeshajichanganya me nafuata maelekezo, unaambiwa kusoma sio mwisho wa ujinga View attachment 880693
Nimshikaji sana alafu ana sense of humour nafurahi tu.Uyo jamaaa n loss kaka hahahahhahhaha ety kozi za kisenge hahahhaah uyo jamaaa n zero sana uyo
Awe jiran na baby wake atawanye risk achague vyuo tofauti.Kuna Boy wake ametangulia huko mwaka jana , ndio anamjaza ujinga , wa kuchagua madude hayo alafu cha ajabu ameomba chuo kimoja tu.View attachment 880592
Kuna vyuo kama mipango ddma na udom bado hawajafunaBaadhi ya vyuo second round selections bado haijatoka huku third round of applications imeshafungwa.
Third round sikuapply kwasababu nilikuwa nasubiri UDOM na MZUMBE watoe second round , mpaka sasa bado hawajatoa. What if nikikosa UDOM na MZUMBE?