Tutajua mbele ya safari, la muhimu hivi sasa CCM iondoke kwanza madarakani, kwa sababu wakati wa ukombozi tunaancha pembeni mengineyo hadi uhuru upatikane, hata TANU hawakuwa wamejipanga ile kivile, bora hata CHADEMA ina baadhi ya makada waliokuwa CCM kipindi kirefu wakachoshwa na mbwembwe za...