Tofauti ya Mzungu na Mswahili Anapokopa mihela.

Tofauti ya Mzungu na Mswahili Anapokopa mihela.

Mdudu Wa Masala

Senior Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
134
Reaction score
79
Tofaut ya Ukopaji Mzungu
na Mswahili.
Mzungu: Hi bro, I need
5,000 i wil pay u back on
Monday.
Mswahil: Kaka vipi, shwari?
Dah hatuonani mzee, vipi
mishemishe, mnatunyima
nini, juzi nimekuona kwa
mbali unakula vyako, sie
tupo bwana, shida tu, afu
misiba mingi tu,wife nae
kajifungua ghafla, sasa
kuna cheque naisubiri
haijatoka hadi leo,
wanasema itatoka next
week, hapa nimekwama,
naweza pata ka 5,000 za
karibu hapo nitarudisha
mwisho wa mwezi Huu.....
 
salamu ndeeeeeefu nimechoka hata kabla ya kusikiliza shida yake huyo mswahili....
 
We upo kundi lipi? Ila waswahili tunatofautiana. Huo ukopaji wa huyo mswahili anaonekana ni mlala hoi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom