Recent content by pcman

  1. pcman

    JamiiForums Tanzania Nimeshuhudia kwa macho yangu, biashara ya photo studio imejaa sana matukio ya ngono

    Yakobo 1:14-15 [14]Lakini kila mmoja hujaribiwa na tamaa yake mwenyewe huku akivutwa na kudanganywa. [15]Halafu ile tamaa ikiisha kuchukua mimba huzaa dhambi, na ile dhambi ikiisha kukomaa huzaa mauti.
  2. pcman

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kwa vyuo vikuu hapa nchini kushindwa kugundua chanjo ya Corona na sasa vinashindana kutoa tahadhari

    Kwani umesikia serikali imetenga kiasi gani kwa ajili ya utafiti juu ya Covid 19?, hakuna tafiti bila resource next time piga kelele juu ya uwezeshaji kwanza kabla hujashambulia vyuo vikuu
  3. pcman

    JamiiForums Tanzania Ni nani aliyeacha alama ya mguu kwenye jiwe hili la Morogoro?

    Hakika Unaweza chagua vya kuona kwenye picha.
  4. pcman

    JamiiForums Tanzania Mke wangu amejiunga na kanisa la 'kiroho' na inapelekea kutugombanisha; naomba ujanja wa kukabiliana na tatizo hili

    Mkuu shida ni kuokoka kwake au kuchelewa kwa kurudi siku za hivyo vipindi huko kanisani kwao?.
  5. pcman

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Kuchimbiwa Kisima, Upo Utaalam wa Kujua Yanapatikana Maji ya Kawaida na Sio ya Chumvi...?

    Watafute Marrywater watakusaidia, badala ya kuchimba kingine ni bora uwekeze kwenye kuyasafisha
  6. pcman

    JamiiForums Tanzania Tigo acheni wizi!

    Ni wezi tu hawa. Wanakuunga kwenye vitu vya ajabu ajabu kwa lazima halafu ukitaka wakuondoe wanakuelekeza jinsi ya kujiondoa kwa huduma waliyo kuunga wao ili wakuibie
  7. pcman

    JamiiForums Tanzania List ya vijana 50 wenye ushawishi yatolewa: Wapo Samatta, Kibatala, Millard Ayo, Ali Kiba, Msando

    Ingeitwa tu list ya wasanii 50 wenye ushawishi
  8. pcman

    JamiiForums Tanzania Simu ndogo kuliko zote dunia

    Kwa nini hii ihesabike kuwa ndogo zaidi, wakati kuna simu ndogo saizi ya saa za mkononi?
  9. pcman

    JamiiForums Tanzania Umesoma vitabu gani mwaka 2017?

    1.His needs her needs 2. Petroleum refining in non technical language 3. 21 keys for success 4. Men are from mars women are from venus
  10. pcman

    JamiiForums Tanzania Halotel mtakuja jutia kwa uamuzi mliochukua, mamia ya watu wanahama halotel

    Natafakari hapa, huenda kifurushi hiki kiki isha nikahama
  11. pcman

    JamiiForums Tanzania Askofu Kakobe: Usalama wa Taifa msihangaike nami. Adai kuna kiongozi kavaa hirizi!

    "Basi sasa nawaambia, Jiepusheni na watu hawa, waacheni; kwa kuwa shauri hili au kazi hii ikiwa imetoka kwa binadamu, itavunjwa, lakini ikiwa imetoka kwa Mungu hamwezi kuivunja; msije mkaonekana kuwa mnapigana na Mungu." - Mdo 5:38-39
  12. pcman

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Faraja Moyo wangu Unateketea.

    Tengeneza kwanza mambo ya nyumba yako mkuu, halafu ukishakuwa vizuri ndio uoe. Kwa sasa achana na pressure
  13. pcman

    JamiiForums Tanzania Simu Janja (Smartphone) 19 bora zinazokaa na chaji muda mrefu

    Bila Infinix note 3 hii list fake[emoji1] [emoji1] [emoji1]
  14. pcman

    JamiiForums Tanzania Mhadhiri Chuo Kikuu Dodoma ataka Yericko Nyerere apewe PhD mbili kupitia kitabu chake cha Ujasusi

    Uelewa mdogo ni shida sana. Aliyekuambi patent ni Phd nani?
  15. pcman

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna uhusiano gani kati ya maji ya Kilimajaro na Serikali?

    Highest quality water in Tanzania
Back
Top Bottom