Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 16,987
- 20,271
Labda unamtafuta kwenye mafaili ya Dodoma Chimwaga ofisi kuu za chama, hapo hutamuona... Ila ukitaka kumuona nenda Chuo Kikuu Dodoma idara husika utamkuta....hakuna muhadhiri mwenye jina hilo Dodoma Yericko kaolota muhuni mtaani ili ampigie debe kitabu chake