Habari za siku ya leo ndugu yangu, leo nisiku nyingine tena ambayo nawalete habari njema juu ya makazi ya mwanadamu.
Nyumba hii ina vyumba 4, jiko1, seating room1, frems 2 kwa upande wa kulia, inapatikana maeneo ya Chamanzi Dovya kwa Mzara jijini Dar es Salaam.
Inauzwa kwa Tsh 76millions...