pc20
Member
- May 28, 2016
- 24
- 10
Eneo la hekari 2 lipo kijiji cha Cheta, kata ya Kazole wilaya Mkuranga mkoa wa Pwani, ni 8km kutokea Vikindu getini kwenye barabara ya rami linauzwa kwa Tsh. 10millions kila hekari moja.
kwa yeyote yule ambaye yuko tayari kununua eneo hili basi tuwasiliane kupitia 0659 91 9292