Nyumba ya vyumba vinne (4) inauzwa tsh 46millions

pc20

Member
May 28, 2016
24
10
Ndugu mteja, Nyumba hii ina jumla ya vyumba vinne (4), jiko1, choo cha public 1 pamoja na frems mbili 2 za maduka kwa upande wake wa mbele.
dd859f856cf1cb75fc509359f16dd801.jpg

Nyumba hii ipo Chamazi Saku Iruru, inauzwa kwa Tsh 60 millions ikiwa imekamilika,
8ad0b0ea70332d682cf49624e53370a6.jpg

Na kama utainunua ikiwa kama ilivyo kwa sasa basi bei yake itakuwa ni 46 millions.
9d253d7b3d65e42bb7c3b4b123957d8d.jpg

KUMBUKA: Bei zote zinapungua kwa kila kitu ulichokiona kwenye ukurasa huu wa matangazo.
dfad4c0e4a813476156d3907fe2f7e3c.jpg

Kwa maoni/maswali/ushauri tupigie simu kupitia Tigo: 0659 91 9292
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom