Recent content by payuka

  1. payuka

    JamiiForums Tanzania Kuingiziwa vidole ukeni.

    Inabidi nikasome gynaecology faster... (Maneno mengine yamepelekea BAN toka kwa mods)
  2. payuka

    JamiiForums Tanzania wahi kununua eneo kigamboni kabla daraja halijakamilika

    Kuna watu wapo hapa purposely kuharibu biashara za wenzao. Jishughulishe walau kidogo kwa kufanya utafiti ujue eneo ambalo mradi unaishia.
  3. payuka

    JamiiForums Tanzania An Opportunity not to miss by just signing up for free and earn a lot of money

    kama JF imefikia hatua hii, basi ni hatari. Mtu huja comment chochote but inaonekana wewe ndo mwanzisha thread ....kwa mtindo huu naamini hata PM mods huwa wanazisoma
  4. payuka

    JamiiForums Tanzania Bajaj used for sale.

    weka bei
  5. payuka

    JamiiForums Tanzania Skype Phone for sale

    Namimi nimeingizwa mkenge na jamaa kuja kufungua thread yake haraka nione hiyo brand ya skype, lol ndo nakuta kumbe yeye ndo anahitaji! Pamba....fuuUuuuuuuuuuuu!
  6. payuka

    JamiiForums Tanzania Nyumba mbili na kiwanja zinauzwa kwa pamoja. Bei sawa na bure.

    Husninyo Ngabu, vp mmepona mafuriko?
  7. payuka

    JamiiForums Tanzania role ya Private Agricultural Sector Support (PASS)

    Najua CRDB huwa wanatumia PASS guarantee kwenye mikopo yao ya kilimo pale mkulima anapokuwa haja meet kigezo cha kuwa na collateral ya kutosha. Sikumbuki maximum percentage ya guarantee, ila nahisi haizidi 20%.
  8. payuka

    JamiiForums Tanzania nauza nyumba kigamboni near mikadi beach

    Unataka kuwaingiza mkeze wenzio! Kigamboni kuna stopping order ya tangu 2008 mpaka leo. Tuamoyo huwezi kuuza wala kununua ardhi kwa shamba.[pottptppoiioopoiiuiiiQiiopooiooooiopoiqioioyUOTE=survivor03;3120089]Nauza nyumba ipo tuamoyo kigamboni karibu na maeneo ya mikadi beach. Ukubwa440 sqm...
  9. payuka

    JamiiForums Tanzania Makontena, Makontena,Makontena yanauzwa

    Kaangalie condition ya container kwanza, unaweza kukuta hata hiyo 2M ni nyingi kwa jinsi container lilivyooza afu halina documents.
  10. payuka

    JamiiForums Tanzania nataka kubadilishana escudo 5 doors nipate GX 100

    Unauza au unabadilishana? Kama unabadilishana nakushauri waone watu wa show rooms!
  11. payuka

    JamiiForums Tanzania Julius mtatiro naye ni mvuta bangi, sijui kama ameacha!

    Hana tofauti na wanafunzi wa Udom, akiwa udms bangi ilikuwa ndio starehe yake. Kipindi hicho alikuwa radical sana, kumbuka wakati ule anafuatilia mikopo ya wanafunzi hesbl, alikuwa anavuta kwanza then ndio anakenda kufanya mipango ya migomo. Kama huamini acha na nenda zako, usichangie upupu...
  12. payuka

    JamiiForums Tanzania Extended use of mobile funds transfer systems

    Tuna M-pesa, TiGo Pesa, Airtel Money na ZAP. Kenya na Tanzania mpaka sasa kuna huduma hizi zilizokwishaanzishwa:- 1) Bulk salary pay: wafanyakazi wanalipwa mishahara kupitia huduma hizi 2) Manunuzi ya airtime, luku, startimes vouchers 3) Bills payment: Dawasco, DSTV, 4) Malipo ya kodi...
  13. payuka

    JamiiForums Tanzania Attitude bila control huchangia umaskini!

    Unataka ku- spend zaidi ya kipato. Kisha tu umeshindwa kujizuia na kuzoea kunywa pombe, kwenda club, kuhonga malaya, kula sehemu za kifahari, ku drive gari lenye fuel consumption kubwa, kupanga sehemu expensive, kupiga party za kujionesha kwa marafiki kwamba unazo, kuafanya shopping sehemu...
  14. payuka

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani

    Kama umeweza kuingia JF unashindwaje ku browse kwenye website yao kisha uangalie criteria wanazotumia ku admit wanafunzi wapya?
  15. payuka

    JamiiForums Tanzania Je mwanamke uko tayari?

    Jaluo nyeupe janja sana, imepata demu Jf ikachakachua kisha inatafuta nyingine ya kumalizia 2012.
Back
Top Bottom