wahi kununua eneo kigamboni kabla daraja halijakamilika

mama cha

Senior Member
Aug 2, 2011
115
9
nauza mashamba kigamboni eneo la mkokozi/lugwadu napima kuazia nusu eka 5mil. Halina hati miliki zaidi ya barua ya serikali ya kijiji na risiti. Lipo km 20 kutoka ferry, umeme haujafika , barabara ya gari inafika hadi shamba lilipo. Come and see 4sure u wil never regret. Cal me 0712769766
 
ile ramani ya kuifanya kigamboni iwe kama ulaya imepitia huko kwako? isije mtu unanunua kumbe kadiri ya ile ramani eneo hilo unalouza ni la makaburi,
 
uza mapema kabla hatujaanza development ya The Kigamboni City
 
ile ramani ya kuifanya kigamboni iwe kama ulaya imepitia huko kwako? isije mtu unanunua kumbe kadiri ya ile ramani eneo hilo unalouza ni la makaburi,
ramani kaka inaishia kibada. Na kutoka kibada hadi shamba lipo ni kilometa kumi nakushauri uje ulione kuna watu humu ndani wamefirisika mawaza na kukebehi post za watu
w wdw
 
uza mapema kabla hatujaanza development ya The Kigamboni City
unaelekea wewe ni msema chochote bila hata kufikiri ningekuona una busara kuomba details za eneo. Mara nyingi wasio wanunuzi kama wewe ndio waongeaji. Pole
 
lily that is a silly question na am sorry cjui elimu yako bt infact that is biz language
 
ha ha ha ha elimu yangu iko juu kama ndege ya chadema! nimechekaje!

Wana Jf msianze tu kuwaharibia biashara wenzenu kwa kuongea bila kujua undani wa hiyo issue, kuhusu huo mradi mpya wa kigamboni kwanza umeisha kiaina na wananchi hawautaki tena finali mwezi wa sita mwaka huu. Kwa maelezo zaidi mtayapata kwenye link ya gazeti la mwananchi/kigamboni. Open link http://www.mwananchi.co.tz/component/search/kigamboni.html?ordering=&searchphrase=all
 
Kuna watu wapo hapa purposely kuharibu biashara za wenzao. Jishughulishe walau kidogo kwa kufanya utafiti ujue eneo ambalo mradi unaishia.
 
Back
Top Bottom