Msaada jamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada jamani

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Sina pa kwenda, Dec 28, 2011.

 1. S

  Sina pa kwenda Senior Member

  #1
  Dec 28, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 116
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Habari zenu wanajamvini! Nauliza tu jamani, nimemaliza Diploma - Business Administration- CBE pale mwaka 2011, sasa nataka mwakani nijoin chuo kwa ajili ya diploma ila nataka nijoin UDSM au IFM, maana nina B nne ya miaka yote miwili ambayo nimesoma na C almost 16. naomba msaada wenu ili nijui kama naweza pata au niangaike na vyuo vingine.
   
 2. payuka

  payuka JF-Expert Member

  #2
  Dec 28, 2011
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 832
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Kama umeweza kuingia JF unashindwaje ku browse kwenye website yao kisha uangalie criteria wanazotumia ku admit wanafunzi wapya?
   
 3. S

  Sina pa kwenda Senior Member

  #3
  Dec 28, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 116
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  asante mkuu, ila nimeuliza wenda watu wanajua na kutokana na majibu niliyowapa mtu anaweza akashauri labda nenda huku au hapa utapata
   
 4. raymond2500

  raymond2500 Member

  #4
  Dec 28, 2011
  Joined: Oct 30, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tembelea website zao nafikiri utapata jibu la swali lako
   
 5. The Dude

  The Dude JF-Expert Member

  #5
  Dec 29, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 981
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Umesema una diploma then unataka tena kujoin diploma how? Sikuelewi you should be eyeing a abachelor degree!
   
 6. Thinker96

  Thinker96 JF-Expert Member

  #6
  Dec 29, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 294
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Aisee,diploma mara ikaenda ikarudi eleweka basi atleast hata pale tulipo tuanze utaratibu wa kusaidiana...kama inawezekana
   
 7. S

  Sina pa kwenda Senior Member

  #7
  Dec 29, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 116
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  sorry jamani siunajua watu tunapitiwa, nataka nijoin bachelor nimemaliza Diploma mwaka huu
   
Loading...