Recent content by Paw

  1. Paw

    Balozi wa Sweden atembelea Ofisi za JamiiForums

    Utazijua ukija, karibu JF
  2. Paw

    Balozi wa Sweden atembelea Ofisi za JamiiForums

    Utakuwa umemuona Cookie maana tumefanana, sipo hapo;)
  3. Paw

    Kutangaza na Jamii Forums

    Tupigie +255 743 440 000 au wasiliana nasi kupitia email, support@jamiiforums.com Karibu
  4. Paw

    Kutangaza na Jamii Forums

    Hello, Matangazo on JamiiForums ni TZS 1 kwa kila tangazo linapoonekana (a single view). Unaamua unatumia bajeti kiasi gani na kwa muda gani. ILANI: Matangazo yanayohusiana na KUTOA MIMBA, BETTING na ANY ILLEGAL ACTIVITY kidogo yana changamoto kuyaweka JF. Karibuni sana
  5. Paw

    Anayejua kuhusu historia ya ukoo wa Mndolwa

    Ukipata wasaa msake Askofu mkuu kanisa Anglican Tanzania anatoka ukoo wa Mndolwa anaweza kuwa msaada kwako
  6. Paw

    TANZIA Shamsa Tale, mke wa Meneja wa Diamond Platnumz (Babu Tale) afariki dunia

    Tumpe nafasi amsitiri mkewe. Tuhifadhi kauli zetu
  7. Paw

    Kumekucha: Taswira ya soko la Kariakoo, Mchague Tundu Lissu

    Kampeni zimeshaanza tayari? Nipo nyuma ya wakati[emoji846]
  8. Paw

    Leo nimeruka ukuta (uzio) ili niende kwa mpenzi wangu

    Mwaka 2004 niliwahi kitembea kwa mguu usiku wa saa saba kutoka Boko hadi Salasala ndipo nikapata bodaboda ya kunirudisha Nyumbani Namanga Msasani. Ofcourse niliingia hme saa kumi kasoro alfajiri. Haya mapenzi haya aisee unaweza hata kumpiga kofi jini ikibidi Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Paw

    Karantini Kuna majamboz

    Ile myth ya kuwapatia kande zenye mafuta ya taa ni kweli itasaidia tatizo? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Paw

    Hukumu dhidi yangu: Shukrani kwa watanzania – Maxence Melo

    Mungu ni mwema Tunavuka changamoto na tutaendelea kuvuka vikwazo Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Paw

    Naomba ushauri wa tatizo la kuwashwa uume

    Mmmh Nautafakari sana huu ujumbe... Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Paw

    Nani alianzisha utaratibu wa kuuza Biriani siku ya Ijumaa na Jumapili tu?

    Loh Hahaha Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Paw

    Trump Ataja Korolokwini kama ni Dawa Inaweza Kutibu au Kufubaza Virusi vya Corona

    Nikikumbuka hizi episodes ninaongeza sala nisipate Corona... Taarifa njema Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Paw

    TANZIA Mwanamuziki mkongwe wa Soukous, Aurlus Mabele afariki dunia. Coronavirus yahusishwa

    Enzi za Baba wa Taifa hadi Mzee Ruksa Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom