Recent content by Paul Paty

  1. P

    JamiiForums Tanzania RC Paul Makonda afika Bungeni kuhojiwa na Kamati ya Maadili. Taarifa itasomwa bungeni...

    Sheria zipo nahisi kila kitu kitaelezwa na vifungu vitasomwa so anaweza kutwa hana hatia na akaachiwa aendelee na kazi.
  2. P

    JamiiForums Tanzania Dar ni mkoa pekee wenye RC Darasa la Saba

    Aahahahaha
  3. P

    JamiiForums Tanzania BASATA mjipange

    Wana maamuzi ya kise..........
  4. P

    JamiiForums Tanzania Issue ya RC wa Dar imefanikiwa kuzimwa

    Usikate tamaa rais atachukua hatua sitahiki soon.....bado na bunge likianza lazima hii kitu iibuke upya.
  5. P

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa hivi kuna mwanaCCM anayemuunga mkono Magufuli?

    Ndio
  6. P

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Nape Nnauye kufukuzwa uanachama wa CCM

    Utakuja nikueleweshe
  7. P

    JamiiForums Tanzania Anaandika kada mkongwe wa CCM kuhusu uamuzi wa Magufuli juu ya Makonda

    Mimi wa mkoa wa lindi sioni faida yake.... utendaji wake yawezekana upo upo sema shida ni cheti... achilia mbali kuongelea swala la madawa ya kulevya tiari ashashukuliwa juu ya hilo ila linalomkabili ni sakata la vyeti kama agizo kutoka kwa rais.
  8. P

    JamiiForums Tanzania Mwanamama kupitia Uhuru FM, adai kuzalishwa na Askofu Gwajima na kutelekezwa!

    Kumbe walikua location ndo maana rais aliwasifia sana jamaa wana vituko kweli mbinu nyingine za kichafuana ni za miaka ya 50 hivi...... shilawadu, clouds hawana tofauti na TBC siku hizi
  9. P

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ashinda Urais wa Chama cha wanasheria nchini (TLS) kwa kupata 88% ya kura

    Hongera sana Mr Tundu Lisu
  10. P

    JamiiForums Tanzania DODOMA: Bashe, Musukuma na Malima waachiwa

    Nenda kenya usikie moto wake..kwani si ni hapo tu
  11. P

    JamiiForums Tanzania Sakata la Lema na USHAHIDI wa Vodacom (kamaa tadinu tudana)

    Vodacom umbea utawaharibia biashara
  12. P

    JamiiForums Tanzania Sakata la Lema na USHAHIDI wa Vodacom (kamaa tadinu tudana)

    Voda waisome namba hata deni lao siwalipi........... mamruki haoooo
Back
Top Bottom