kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,784
- 20,155
Nitapata mshangao wa ajabu tena hata kuzimia na kushangaa sana kama mpaka dk hii kwa yanayotokea kwa sasa
Nchi inaongozwa na magu na bashite hivi bado mpo tu?
Sidhani kama yupo anayemuunga mkono hapa duniani
Mpaka shetani wanashangaa matendo yake
Tena itakua maajab kama kuna anamsapoti mpk dk hii
Hivi kweli kuna mwanaccm anamuunga mkono? sidhani
Kama yupo anayemuunga mkono magufuli bhas nitapata mshangao wa ajabu ambao toka kuzaliwa cjapata kuuona kama kuna mtu au mwanaccm anayemuunga mkono
Yaani nitaduwaa na kumshangaa ambaye mpaka leo anamuunga mkono