Wakuu poleni sana na majukumu,,..ama Kwa hakika kwenye hili jukwaa wapo wataalamu na wajuzi na wenye experience katika maswala ya mahusiano..Niende Moja Kwa Moja kwenye mada na kiufupi kabisa..,,ebhna mimi baada ya kufanya uchambuzi yakinifu nimebani kuwa mimi ni backup plan Kwa demu...