Recent content by paul c

  1. paul c

    Natafuta Printer main board hp laserjet pro mfp m125a

    So nijaribu kubadilisha port ya usb? Haina wireless.
  2. paul c

    Natafuta Printer main board hp laserjet pro mfp m125a

    Ukikonect kweny computer hakuna response yoyote ile. Data port ipo sawa na copy inatoa vizuri kabisa tatizo ni kwenye kuprint na scan.
  3. paul c

    Natafuta Printer main board hp laserjet pro mfp m125a

    Niwasalimu ndugu zangu nyote katika mtandao wetu pendwa JF. Bila kupoteza muda ndugu zangu natafuta mother board ya printer hp laserjet pro mfp m125a. Kwa anayejua wauzaji wa hapa Tanzania au kama unayo tafadhali naomba ushirikiano wa kuweza kuipata. Natanguliza shukran. Picha ya mother board husika
  4. paul c

    Mashindano ya kucheza PS 4&5 Arusha. mshindi anapata 144,000/=tzs

    Wenye 50 mlete watoto wenu waje wacheze.
  5. paul c

    Mashindano ya kucheza PS 4&5 Arusha. mshindi anapata 144,000/=tzs

    Kama unajijua ni mahiri wa kucheza ps 4&5 game tofauti tofauti hii ni fursa kwako. Njoo ucheze na ulipwe. Umri uwe ni kati ya miaka 10-25. Hakuna kiingilio ni bure. Eneo ni Arusha Remote Location. Lipo kijenge karibu na kokorico club. Kwa mawasiliano zaidi piga namba 0765741591.
  6. paul c

    Arusha Natafuta desktop used budget 200,000/=

    Habari wanajukwaa; Kama kichwa cha habari kinavyosomeka ninahitaji computer desktop kwa ajili ya watoto kujifunzia. Budget ni 200,000/=tzs. Kama unayo nicheki kwa namba 0765-741-591Kwa kutuma picha. Walioko arusha nitawapa kipaombele. Kama ipo amabayo ni quality zaidi kwa bei ambayo pia ni...
  7. paul c

    Mpaka wa Namanga wafungwa kwa muda na raia wa Kenya

    Mamlaka haijatoa ufafanuzi hizi bado ni habari za kuskia. Tuvute subira ufafanuzi wa wenye mamlaka utatoka ndio tuchambue pumba na mchele.
  8. paul c

    Mvua iliyoanza kunyesha leo baadhi ya maeneo hapa nchini baada ya maombi ya watu wa dini fulani siku ya Ijumaa ni coincidence au Mungu kajibu maombi?

    Akili nyingine ukizifikiria unaishia kucheka tuu. Unaombea mvua kipindi cha masika? Nenda kaombee huko nambia desert na kalahari mvua zinyeshe watu wapate ardhi walime. Hata vita vya kugombea ardhi vitapungua.
  9. paul c

    Hizi ‘Dressing Code’ za Rais Magufuli nimezielewa

    Ifikie mahali watanzania tuache maisha ya kwenye movie. Sasa cha ajabu hapa ni kipi? Tunataka kila kitu kiwe maigizo? Hapa tumeona uhalisia wa maisha yake ni jambo jema ila sio kukosolewa kiasi hiki.
  10. paul c

    Maandamano ya kumpongeza Rais Magufuli Mbeya

    Najribu kuwaza na ikitokea waandamane ambao hawajaridhishwa na utendaji je idadi itapungua au kuongezeka? Jijibu kimya kimya.
  11. paul c

    Nauona uchaguzi 2020 ukiahirishwa baada ya vifaa vya NEC kuchomwa moto na watu wasiojulikana

    Hii ni ndoto ya mchna. Tanzania bado ni nchi yenye uwezo wa kukabiliana na wahalifu wa kisiasa kwa kiwango cha juu sana. na hii ni kutokana na system ya kiuongozi iliyopo. Na ndio maana kuweka pandikizi la mabeberu ni ngumu sana kwa Tanzania. Angalizo; mimi sio muumini wa chama chochote cha...
  12. paul c

    Polisi wa Usalama Barabarani wa Dar wakusanya Tsh. Milioni 972.7 kwa kipindi cha wiki mbili

    "Katika operesheni hiyo ya ukamataji wa magari iliyofanyika kati ya Mei 11 hadi Mei 24, mwaka huu magari yaliyokamatwa ni 24,116, pikipiki 763 na daladala 10,301." Sasa daladala sio magari?
  13. paul c

    Je, unawaza ujiajiri? Pita hapa na itazame hii biashara kama itakufaa

    Unakodisha ivyo vitu kwa mtu anayetaka kufanya hii biashara afu hana uwezo wa kununua vitu. Huwa tunakodisha extenal kwa siku 2,000/= CPU 4,000/= hata zaidi ya hapo. sasa inategemea na wew unakodishaje kama full office equipment inaweza kuwa hata 7,000/= au 10,000/= kuendana na uwezo wa vifaa...
  14. paul c

    Je, unawaza ujiajiri? Pita hapa na itazame hii biashara kama itakufaa

    Kama ukikwama kupata MTU kabisa bora ukodishe vitu uwe unaletewa hela kwa wiki
  15. paul c

    Je, unawaza ujiajiri? Pita hapa na itazame hii biashara kama itakufaa

    Upo wapi mkuu? Kama DSM itakuwa cheap ila uwe makini. Wajanja wanabambika madisk yenye bad sector nyingi.
Back
Top Bottom