Kwenye nafasi nyeti kama hizi za dola huwa hakuna conflict of interest. Kwa mfano bahati mbaya ibilisi akiwaingilia hawa mabwana mbao mnasema ni ndugu wakaamua kuside against rais katika jambo fulani rais atakuwa katika wakati gani. Au tuseme hivi afisa wa tiss akipewa kazi na boss wa tiss ya...
Tatizo ni kuwa wao ni mahodari wa kudandia hoja halafu mwisho wa siku wanatekeleza kwa manufaa yao si ya walalahoi wa nchi hii. Mara moja hii umesahau walivyo idandia vita zidi ya mafisadi na wakaipigana kivyaovyao si mliona matokeo ya vita hiyo. Sasa na katiba ndio hiyo wanaidandia tusipochukua...
Kutupa muundo wa serikali unaoeleweka na ulioridhiwa na wananchi wote, sio huu wa sasa ambao unaubeba kama si kupendelea kwa waziwazi upande mmoja wa muungano
Swali: hivi, IGP Mwema kazi yake ni ya mkataba wa miaka 4 kama ilivyo kuwa ya Tid?. Mkataba wa Tido ulisema ni lazima yeye kupewa mkataba mwingine baada ya ule wa awali kuisha? Hivi nini basi mantiki ya kuwa na kazi zenye mikataba hii mifupi? Na mwenye uamuzi wa mwisho wa kuongeza mkataba wa...
Kwa matokeo haya ya BSS napata wasiwasi kuwa utamaduni wa kuchakachua matokeo ndio unaota mizizi. Hawa BSS wamejishushia heshima mbele ya macho ya wapenzi wake. Ama kwa hakika nayaonea huruma makampuni yanayo poteza rasilimamali zake kuwa support kwani pamoja na washirika wao BSS wamejishushia...
Bwana wewe inaonyesha unatetea sana mambo ya kukua kwa uchumi. waweza kutufahamisha ile ndege ya uchumi tuliyokuwa tunaambiwa iko runway inasubirikupaa, imefikia wapi sasa katika safari yake. Hongera Dr mara 5 jk.
Wakati na soma kuna mwalimu wangu alikuwa anapenda sana kutumia neno wekiazi kwa wale wanafunzi wake waliokuwa wazito kuelewa.
Nilikuwa na jaribu kutafakariki hivi hawa wa dowans ni wawekezaji au matapeli kama walivyo matapeli wengine? walichowazdii wenzao ni kuwa wao ni matapeli wa...
Waambie wayahudi na Wamarekani wanaweza kukusikiliza katika hilo, sio sisi watanzania, ila tu uwe na ushahidi wa kutosha, kwani kama ilivyo sisi wao ndio kabisa hawataki kusikia majungu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.