Kilichompoza profesa peter Msola kukosa uwaziri unakijua ?

Hizi ni tetesi so far. Hazina source yoyote ambayo ni credible ya kutuaminisha kwamba ni kweli.
Kwa mfano mweka maada anesema kuwa RA ana hisa 65% ktk voda TZ, ambayo imeonyweshwa kwamba sio kweli.
Hii tu yatosha ku cast doubt kwenye taarifa nzima aliyoiweka hapa.
Njoo na taarifa zenye uhakika ili tuweze kujadili.
 
Taraifa hii utaletewa si muda mrefu ,lakini kuwa ufupi tu Peter Msolla aliingilia maslahi ya jasusi wa shirika la Irani Rostam Azizi,Profesa peter msolla alipopeleka mswada wa sheria kwenye baraza la mawaziri ilikupata baraka ya kupitishwa uliokuwa ukiyataka makampuni yote ya mawasiliano pamoja na simu kuweka bayana mapato yao ikiwemo kampuni inayomilikiwa na Rostam Aziz vodacom ambayo anamiliki hisa asilimia sitini ya hisa zote kwenye kampuni hiyo.

Mswada ule ulipata baraka kwa baraza la mawaziri,Jk Rais asiye jiamini anayemtegemea Rostam Aziz na Edward Lowassa kutwala nchi kwakuwa anawaogopa na kweli anawaogopa tunajua ,na tunajua lakini profesa msolla akaitwa na Jakaya Kikwete kwa wakati mwingine weweze kubadili baadhi ya vipengele ili kuwalinda majambazi wezi wakubwa hao wa makampuni ya simu .ambao wanabadili majina ya kampuni kila baada ya miaka mitano ,msolla kwa uadilifu wake alipingana na ushauri wa bosi wake kikwete akakataa kufanya tofauti na vile baraza la mawaziri walivyopitisha mswaada huyo .

Nawambia watanzania Rostam Aziz ni jasusi hamtaki kunielewa huyu mtu anaivuruga nchi ,subirini taarifa kamili

I have to give this issue a benefit of doubt!! Lakini sidhani kama Msola anaweza kuwa na courage hiyo!!
 
Hii habari mbona imekaa kimawengemawenge sana, wewe mleta maada mbona kama huna taarifa ungesema hivyo?
 
Kwa hili la kunyimwa uwaziri na kusimamamia anachokiamini msolla nampongeza ,kwenye elimu hilo ni jambo lingine tusihamishe mada ,msola kanyimwa uwaziri kwasababu aliingilia maslahi ya Rostam Aziz tena jasusi

Msolla Peter Mahmoud namfahamu ! Kigeu geu ana kiburi hana misimamo. Kwa kukusaidia namjua sana huyu Prof wa Vet Med. Danganya wengine. Ulizia madudu alofanya kila wizara alopita kwa miaka 5 ilopita, alihamishwa wizara ngapi? Fatilia hata historia yake akiwa Dean na baadaye DVC SUA alibebwa na mhehe Mwenzake Jackson Mkweta enzi hizo! Kwenye ubunge na siasa amechemsha big tyme sidhani kama atarudi tena bunge coming election 2015
 
sasa hapo msolla mbona hakijiuzulu? hapo ndo mungempa ushujaa,lakini kusubiri akose uwaziri ndo haya yanajitokeza mhmhmh!
Ushauri wa bure kwa wsiomtambua Kikwete kama Rais.Mkajinyonge.
 
Vodacom Tanzania Limited is Tanzania’s leading cellular network offering state-of-the-art GSM communication services to more than 6 million customers across the country. Vodacom Tanzania is a subsidiary company of Vodacom Group (Pty) Limited, South Africa. Vodacom Group (Pty) Limited owns a majority share portion of 65%, the remaining 35% is owned by Tanzanian shareholder, one Mirambo ltd. Hapoo ndipo kwa bwana mkubwa
 
Taraifa hii utaletewa si muda mrefu ,lakini kuwa ufupi tu Peter Msolla aliingilia maslahi ya jasusi wa shirika la Irani Rostam Azizi,Profesa peter msolla alipopeleka mswada wa sheria kwenye baraza la mawaziri ilikupata baraka ya kupitishwa uliokuwa ukiyataka makampuni yote ya mawasiliano pamoja na simu kuweka bayana mapato yao ikiwemo kampuni inayomilikiwa na Rostam Aziz vodacom ambayo anamiliki hisa asilimia sitini ya hisa zote kwenye kampuni hiyo.

Mswada ule ulipata baraka kwa baraza la mawaziri,Jk Rais asiye jiamini anayemtegemea Rostam Aziz na Edward Lowassa kutwala nchi kwakuwa anawaogopa na kweli anawaogopa tunajua ,na tunajua lakini profesa msolla akaitwa na Jakaya Kikwete kwa wakati mwingine weweze kubadili baadhi ya vipengele ili kuwalinda majambazi wezi wakubwa hao wa makampuni ya simu .ambao wanabadili majina ya kampuni kila baada ya miaka mitano ,msolla kwa uadilifu wake alipingana na ushauri wa bosi wake kikwete akakataa kufanya tofauti na vile baraza la mawaziri walivyopitisha mswaada huyo .

Nawambia watanzania Rostam Aziz ni jasusi hamtaki kunielewa huyu mtu anaivuruga nchi ,subirini taarifa kamili

Mhh..na unaamini kuwa kuunda sheria mahsusi ya kumdeal mtu ndiyo umakini anaotakiwa kuutumia rais wetu. Na hivi siku hizi kuna mswada wa sheria unaofika bungeni kabla ya rasimu yake kuitishwa na kikao cha Baraza la Mawaziri ambacho Rais ndiyo mwenyekiti wake? Hivi kweli eti kuna Waziri anayeweza kupeleka mswada bungeni usiokuwa na baraka za Rais? Acheni hizi siasa za ujanjanja na pia angalia usije ukaambiwa ukweli wa mambo ukaishia kumuonea huruma Prof Msola.....
 
Vodacom Tanzania Limited is Tanzania's leading cellular network offering state-of-the-art GSM communication services to more than 6 million customers across the country. Vodacom Tanzania is a subsidiary company of Vodacom Group (Pty) Limited, South Africa. Vodacom Group (Pty) Limited owns a majority share portion of 65%, the remaining 35% is owned by Tanzanian shareholder, one Mirambo ltd. Hapoo ndipo kwa bwana mkubwa

Unataka kuniambia kuwa Rostam anaown Mirambo T Ltd?
 
.....Yes, it is true. this allegations must be supported with facts. Not necessarily numbers, but events/incidents would be sufficient
 
Taraifa hii utaletewa si muda mrefu ,lakini kuwa ufupi tu Peter Msolla aliingilia maslahi ya jasusi wa shirika la Irani Rostam Azizi.
Nawambia watanzania Rostam Aziz ni jasusi hamtaki kunielewa huyu mtu anaivuruga nchi ,subirini taarifa kamili

Waambie wayahudi na Wamarekani wanaweza kukusikiliza katika hilo, sio sisi watanzania, ila tu uwe na ushahidi wa kutosha, kwani kama ilivyo sisi wao ndio kabisa hawataki kusikia majungu.
 
Mhh..na unaamini kuwa kuunda sheria mahsusi ya kumdeal mtu ndiyo umakini anaotakiwa kuutumia rais wetu. Na hivi siku hizi kuna mswada wa sheria unaofika bungeni kabla ya rasimu yake kuitishwa na kikao cha Baraza la Mawaziri ambacho Rais ndiyo mwenyekiti wake? Hivi kweli eti kuna Waziri anayeweza kupeleka mswada bungeni usiokuwa na baraka za Rais? Acheni hizi siasa za ujanjanja na pia angalia usije ukaambiwa ukweli wa mambo ukaishia kumuonea huruma Prof Msola.....

Wajuwaji wa kila JAMBO!!!!
 
Taraifa hii utaletewa si muda mrefu ,lakini kuwa ufupi tu Peter Msolla aliingilia maslahi ya jasusi wa shirika la Irani Rostam Azizi,Profesa peter msolla alipopeleka mswada wa sheria kwenye baraza la mawaziri ilikupata baraka ya kupitishwa uliokuwa ukiyataka makampuni yote ya mawasiliano pamoja na simu kuweka bayana mapato yao ikiwemo kampuni inayomilikiwa na Rostam Aziz vodacom ambayo anamiliki hisa asilimia sitini ya hisa zote kwenye kampuni hiyo.

Mswada ule ulipata baraka kwa baraza la mawaziri,Jk Rais asiye jiamini anayemtegemea Rostam Aziz na Edward Lowassa kutwala nchi kwakuwa anawaogopa na kweli anawaogopa tunajua ,na tunajua lakini profesa msolla akaitwa na Jakaya Kikwete kwa wakati mwingine weweze kubadili baadhi ya vipengele ili kuwalinda majambazi wezi wakubwa hao wa makampuni ya simu .ambao wanabadili majina ya kampuni kila baada ya miaka mitano ,msolla kwa uadilifu wake alipingana na ushauri wa bosi wake kikwete akakataa kufanya tofauti na vile baraza la mawaziri walivyopitisha mswaada huyo .

Nawambia watanzania Rostam Aziz ni jasusi hamtaki kunielewa huyu mtu anaivuruga nchi ,subirini taarifa kamili

Jamani mnajihangaisha bure kukisia sababu za baadhi ya Mawaziri wa zamani kutorudi Bungeni. Kumbuka kabla Rais hajatangaza huwa anakuwa amewasiliana nao na kuwauliza kama wanaridhia nafasi zao. Je mna uhakika kwamba wote (including Msola) walitemwa tu? Is it not possible kuwa walikataa uteuzi kwa sababu mbalimbali?
 
Hizi ni tetesi so far. Hazina source yoyote ambayo ni credible ya kutuaminisha kwamba ni kweli.
Kwa mfano mweka maada anesema kuwa RA ana hisa 65% ktk voda TZ, ambayo imeonyweshwa kwamba sio kweli.
Hii tu yatosha ku cast doubt kwenye taarifa nzima aliyoiweka hapa.
Njoo na taarifa zenye uhakika ili tuweze kujadili.
Kama nimemwelewa vizuri mtoa mada, hapo amedokeza tu, ila taarifa kamili inakuja.
 
Mhh..na unaamini kuwa kuunda sheria mahsusi ya kumdeal mtu ndiyo umakini anaotakiwa kuutumia rais wetu. Na hivi siku hizi kuna mswada wa sheria unaofika bungeni kabla ya rasimu yake kuitishwa na kikao cha Baraza la Mawaziri ambacho Rais ndiyo mwenyekiti wake? Hivi kweli eti kuna Waziri anayeweza kupeleka mswada bungeni usiokuwa na baraka za Rais? Acheni hizi siasa za ujanjanja na pia angalia usije ukaambiwa ukweli wa mambo ukaishia kumuonea huruma Prof Msola.....
Omar hapo hoja yako nini hasa?. Ni kweli muswada sheria kwa utaratibu wa kawaida ni lazima upitie BLM kabla ya kuwasilishwa bungeni. Japo katika mazingira fulani Rais anaweza kutoa hati ya dharura. Mtoa hoja anasema Msola alikataa kubadili vipengele vilipitishwa na BLM maana yake ni kwamba muswada huo ulipitishwa na BLM. Tusubiri taarifa kamili.
 
Back
Top Bottom