Recent content by pattii

  1. P

    JamiiForums Tanzania Desemba 25: Je, ni siku aliyozaliwa Yesu au twaadhimisha tu kumbukumbu?

    Wewe unayeamini katika Kristo Yesu, jilinde na chachu ya watu wasioami ktk Kristo, hata kwa upande wao mada zipo lakini kwanini uutie moyo wako unajsi. Mungu atusaidie sana
  2. P

    JamiiForums Tanzania Desemba 25: Je, ni siku aliyozaliwa Yesu au twaadhimisha tu kumbukumbu?

    Yesu akawambia wanafunzi wake, jilindeni na chachu ya mafarisayo
  3. P

    JamiiForums Tanzania Vituko vya binti wa kazi toka Tanga

    Anakaa uchi alafu unasema nimenyamaza, ni akili yako kweli! au kale kapepo kamekuvaa? tusiache kuzigundua hila za shetani. Iko hivi, shetani anaanza kukuonyesha picha, baadae ataanza kukuhubiria, hicho unachokiona kitaanza kuimba ndani yako. Msichana wa wangu alikuwa hivyo, mara anavaa nguo...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Vituko vya binti wa kazi toka Tanga

    Kama unafanya mzuri, utasemwa kwa mazuri, na kinyume chake ni sawa
  5. P

    JamiiForums Tanzania Vituko vya binti wa kazi toka Tanga

    Tena uwahi kabla hajaweka mizizi, watu wa tanga wanastaili yao ya kujikita mahali haumng'oi mzee. Note: ujue kuwa wakati anaongea na wazazi wake alishaulizwa huyo mume wako yeye anasemaje, na jibu ni hili "hajasema kitu" kwa maana hiyo ubaya umebaki kwako, lazima ushughulikiwe usije ukamkosesha...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Vituko vya binti wa kazi toka Tanga

    pole sana, huyo binti hawezi kukaa na mtoto, na usipochukua hatua mapema kuna siku utamkuta mtoto kafungiwa kwenye ndoo ya maji,. ni hivi, ili afanye kazi lazima umgombeze iko siku atalipiza kwa mtoto
  7. P

    JamiiForums Tanzania Rished Bade ateuliwa kuwa Kamishna Mkuu Mpya TRA

    Wakati wenzenu wanajenga seminari nyie mnajenga misikiti, alafu unahoji ujinga hapa
  8. P

    JamiiForums Tanzania Dr. Magufuli na usanii wa Hospitali kuu ya Taifa Muhimbili

    Matatizo ya kukaa kwenye vijiwe vya wavuta bangi, kila kitu ni kubisha tu. Tusidanganywe, kwahiyo.
  9. P

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni Dodoma 20 Nov, 2015: Hotuba ya Rais wa JMT kuzindua Bunge la 11

    Imesaidia nini sasa
  10. P

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni Dodoma 20 Nov, 2015: Hotuba ya Rais wa JMT kuzindua Bunge la 11

    Safi sana Chief JJ, achan na hao jamaa ambao hawajielewi
  11. P

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni Dodoma 20 Nov, 2015: Hotuba ya Rais wa JMT kuzindua Bunge la 11

    Imekaa sawa! Hapa ni kazi tu mzee
  12. P

    JamiiForums Tanzania Kwa hili wanandoa wa Jf "mpone" kwa Jina la Yesu Kristo

    Leo muisikiapo sauti yake, msifanye mioyo yenu kuwa migumu
  13. P

    JamiiForums Tanzania UKAWA wamwandikia Spika kutaka kujua uhalali wa Rais JPM kuhutubia Bunge bila matokeo ya Zanzibar

    tutaona nani mwenye akili, waukawa/serikali
  14. P

    JamiiForums Tanzania Askari wa kike na kiume kulala chumba kimoja inakuwaje?

    Huo ni udhaifu wako, usifikiri wengine wana madhaifu kama yako
  15. P

    JamiiForums Tanzania Ndoto hii ina maana gani?

    mara nyingine mnaota yale mliyokuwa mnayawaza mchana
Back
Top Bottom