Hii ni kuonyesha kuwa jamii forum inazidi kukuwa na kuaminika kwa jamii, jamani maisha hasa dsm ni zaidi ya vita. Mfano pita kariakoo usiku uone idadi ya watu wanalala kwenye makorido kuna haja ya wenye uwezo kuwasaidia wasio na uwezo. Napendekeza pia jamii forum kuanzisha na kuratibu jukwaa la...
Kwa kawaida binadamu wote tumeumbwa kwenye hii hali, ya kukumbuka vitu na kuvisahau.
Huu uchaguzi wa mwaka huu utanichukua muda mrefu sana kuusahau. Inauma lakini hakuna namna.
Hii inanikumbusha mwaka 1993, wakongwe na mashabiki wa mpira wanaweza kukumbuka ni fainali ya mpira wa miguu kati...
Juzi usiku majambazi kama kumi hivi wakiwa na bunduki walivamia maduka Kimara Mwisho na kupora watu fedha na vifaa kama vile simu na vocha.Tukuo hilo lilichukua kama dk 5 hivi.
Binadamu yeyote yule ana tabia ya kutamani vitu lakini anapovipata na kuvitumia kwa muda fulani vitu hivyo humkinai hii kitu iko natural. Mfano nguo, nyumba, magari, chakula na nk. Hali hiyo pia hutokea kwenye ndoa yaani unamkinai mwenzio. Kama ingekua inawezekana wanandoa wangepaswa kupeana...
Kuna ile no huwa inatolewa na jeshi la polisi ili kusaidia kupunguza ajali. Mm nashauri no ile ibadikwe kwenye kila basi la abiria, pia zile speed meter moja iwekwe huku kwa abiria ili dereva akizidisha speed abiria wanaona na kutoa taarifa nadhani hii itasaidia kidogo.
Ni rahisi. Chukua gazeti lolote lile mara nyingi huwa wanaandika ndani majina ya wahusika idara zao na no za simu or email. Hapo utapata no za watu wa idara ya masoko na usambazaji, wapigie watakuelewesha.
Kwa nyumba ya vyumba vitatu, sitting room, dining, jiko na vyoo vya ndani pesa hiyo inatosha. Ila lazima uisimamie mwenyewe. Ila kubaki hela nina mashaka sana sana unaweza ukaongeza.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.