Recent content by patrickcharles

  1. patrickcharles

    Naomba ushauri kwa aliyewai kununua tinga tinga fx robot

    Angalau uwe na sababu 3 za kuingia trade, Kwa mfano tuseme we ni trend trader na price imefika kwenye trend/support, hapo inabdi uangalie tena kama **** stop loss hurting imefanyika (idea ya Wychoff) - Compost Man, kama tayar basi utasubr price either itengeneze W/M katika lower time frame 1H -...
  2. patrickcharles

    Naomba ushauri kwa aliyewai kununua tinga tinga fx robot

    Smart Money Concept (SMC), Wychoff concept, Order Broke, patterns , etc, vyote vinasaidia kutengeneza Confluence katika entry, lakini inachikua muda vyote ku- align, hivyo best entry inachikua muda kutokea na ikitokea inatembea muda mrefu sana.
  3. patrickcharles

    Naomba ushauri kwa aliyewai kununua tinga tinga fx robot

    Pure price action is the key, Volatility zinatembea bila influence of fundamentals (News). Lakini uvumilivu wa kusubri the right time, inasumbua sana. e.g hapa nimeingia baada ya kusubri for about 3days.
  4. patrickcharles

    Naomba ushauri kwa aliyewai kununua tinga tinga fx robot

    Tupo pamoja Mwl., Na mimi ni Mwl. Muda huu natoka Church na hiki ndio nimekikuta kwenye V75
  5. patrickcharles

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Huyu XM ni aina gani ya Broker?: Market Maker brokers au ECN brokers.
  6. patrickcharles

    Tumeanza kutoa mbengu za viazi lishe kwa bei nafuu kabisa

    Habari ndugu zangu wanajamvi! Kwa mda sasa kumekuwa na changamoto kubwa ya kupata mbengu za viazi lishe kwa Wakulima na inapopatikana imekuwa ikiuzwa kwa mche mmoja mmoja kwa shilingi za kitanzania 60 - 100/= hivyo kukatisha tamaa walio wengi. Kwa wasiojua fursa ya viazi lishe jaribuni...
  7. patrickcharles

    Yaliyojiri Kuapishwa kwa Donald Trump, rais wa 45 wa Marekani

    Hili nipigo kwa wanaolilia na kushitaki Nchi yao pendwa kwa wa Marekani, no more MCC grants.
  8. patrickcharles

    Obama vows action against Russia over election hacks

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Si waende wakashitaki ICJ?
  9. patrickcharles

    Lady Jay Dee asalimu amri kwa Clouds, aruhusu nyimbo zake zipigwe rasmi

    Hii pia itakuwa udaku sio? [emoji116] [emoji116]
  10. patrickcharles

    Lady Jay Dee asalimu amri kwa Clouds, aruhusu nyimbo zake zipigwe rasmi

    Hakuna tatizo hapo maana alisema Chawa na sio watu. So wafanyakazi/Clouds family haliwahusi.
  11. patrickcharles

    Prof.Tibaijuka apata tuzo nyingine tena Afrika Kusini

    Very Correct ni kama wanavyojitoa akili na kumshabikia Lowassa.
  12. patrickcharles

    Ushauri kwa huyu mwenzetu, muda wowote anaweza jiua

    Good, Mwambie " What appears to be the end may really means the new begging"
Back
Top Bottom