Tumeanza kutoa mbengu za viazi lishe kwa bei nafuu kabisa

Tumeanza kutoa mbengu za viazi lishe kwa bei nafuu kabisa

patrickcharles

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2013
Posts
534
Reaction score
287
Habari ndugu zangu wanajamvi!

Kwa mda sasa kumekuwa na changamoto kubwa ya kupata mbengu za viazi lishe kwa Wakulima na inapopatikana imekuwa ikiuzwa kwa mche mmoja mmoja kwa shilingi za kitanzania 60 - 100/= hivyo kukatisha tamaa walio wengi.
Kwa wasiojua fursa ya viazi lishe jaribuni kujikumbusha kupitia uzi huu ndani ya jukwaa hili: Fursa katika kilimo cha viazi lishe, tuchangamkieni upesi
Ili kusaidia jamii yetu ya kiafrica hasa kwa walioiona Fursa ya kuzalisha zao hili, kampuni inayojihusisha na Kilimo cha mijini (UrbanFarming) yenye makao yake makuu Arusha, tuliamua kujikita katika uzalishaji wa mbengu za kutosha kwa mtu, kikundi au kampuni yoyote yenye uhitaji.

Hivyo tunautangazia umma kuwa tayari tumeanza kutoa mbengu hizi za viazi lishe kwa bei nafuu kabsa ya shilingi za Kitanzania 120,000/ kwa Gunia moja lililojazwa vizuri kabsa (Lumbesa) lenye uwezo wa kupanda robo hekar na zaidi.


Hii ni fursa adimu kwa wakulima wenye malengo ya kuwekeza kwenye zao hili hasa huu msimu wa mvua. wahi kabla hujachelewa:
upload_2018-3-26_21-21-57.jpeg
upload_2018-3-26_21-23-17.jpeg
​

Tupo Arusha Mjini:
Kwa mawasiliano 1. Piga simu: +255769067992
2. WhatsApp: +255625645475
3. Email : urbanfarming17@yahoo.com



​
https://www.jamiiforums.com/posts/26174577/
 
Back
Top Bottom