Mke mwema hapatikan kwa kuangalia kiwango cha elimu. ...ila ukibahatika kumpata mwenye akil maisha yataenda vzur maan ni waelewa san.
Ukiow ambaye ajui kuchezesha akil na ukakosa uvumilivu aman ktk ndoa itakuwa vgum kuipata maan lawama zitatawala
Usiogope kama unamalengo naye subir hakun awezaye kutenganisha upendo wa wawil.
Ata maandiko yanasema ataachana nao wote aje kwako.
Ameogopa tu vtsho vya mkubwa kwa sasa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.