Recent content by Patrick J Malema

  1. Patrick J Malema

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Hongera Sana Mkuu kikombe cha asali kila mtu atakilamba🙏
  2. Patrick J Malema

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Mapema asubuhi Watu wanalamba Asali😁
  3. Patrick J Malema

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mwanafunzi Kampala International University (KIU) afariki dunia baada ya kushambuliwa na vibaka

    R.I.P hanifa... MUNGU awahukumu vibaya hao vibaka
  4. Patrick J Malema

    JamiiForums Tanzania Maeneo ya field Kozi ya Bsc in Agriculture general

    😁😁 😁Sawa huko ndo kwetu pia
  5. Patrick J Malema

    JamiiForums Tanzania Maeneo ya field Kozi ya Bsc in Agriculture general

    Yaap Asante Sana mkuu...umenifungua mind!!
  6. Patrick J Malema

    JamiiForums Tanzania Maeneo ya field Kozi ya Bsc in Agriculture general

    Asante Sana mkuu umeniongezea kitu kikubwa....ubarikiwe Sana 🙏🙏
  7. Patrick J Malema

    JamiiForums Tanzania Maeneo ya field Kozi ya Bsc in Agriculture general

    Aah shukrani kwa ushauri wako na maneno makali,lakini Mkuu mbona una moka mno....dhumuni la kuuliza Ni kuongeza maarifa na kupata detail mbalimbali ilikufanya maamuzi sahihi. Ndio maana waAfrica atuendelei tunapenda lawama na kuponda tu...
  8. Patrick J Malema

    JamiiForums Tanzania Maeneo ya field Kozi ya Bsc in Agriculture general

    Habari Wakuu..... kwa wenye uzoefu wenye detail au walio soma Kozi hii, naomba msaada kujua maeneo yakufanyia field.
  9. Patrick J Malema

    JamiiForums Tanzania Wale wanaotumia TALA

    Aha sawa mkuu, kupitiwa tu Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Patrick J Malema

    JamiiForums Tanzania Wale wanaotumia TALA

    Tara is the best! Wapo vizuri wanatusaidia sana watanzania hasa wakati huu mgumu wa vyuma kukaza.... Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Patrick J Malema

    JamiiForums Tanzania Mrisho Mpoto amuomba Nasib Abdul kufika kwenye msiba wa Ruge Mutahaba

    Wenye akili hawana papara! Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Patrick J Malema

    JamiiForums Tanzania Nilipata kazi kwa kusearch ajira kwa kutumia TECNO ndogo T340. Leo hii kijana ana simu kubwa hajui kazi zinapatikana wapi.

    Safi mkuu...umetufungua wengi! Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Patrick J Malema

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Tanzania is the best! Hata waseme vp Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom