Recent content by PATIENCE PB

  1. PATIENCE PB

    Deadline ya kusajili NBAA ni tarehe ngapi?

    NBAA nimeangalia sijaona Mkuu ndo maana nikapost humu Jukwaa la Elimu......sa unapozungumzia mambo ya ngono nashindwa kukuelewa mkuu.
  2. PATIENCE PB

    Deadline ya kusajili NBAA ni tarehe ngapi?

    Wanajamvi wa Elimu forum kwa anayejua mwisho wa kujisajili NBAA kwa ajili ya mitihani ya CPA anifahamishe tafadhali. Asanteni!!
  3. PATIENCE PB

    Rais wa mwendokasi!

    Asante
  4. PATIENCE PB

    Wanaoandika serikali imefilisika wanajua uchumi?

    When the economy undergo Contractionary policy ,they say the government is bankrupt!!
  5. PATIENCE PB

    Pale mume anaposema hatajenga nyumba

    Huyo bibi namfahamu sana yupo kule kijijini kwetu na hapo ni baada ya tetemeko LA ardhi
  6. PATIENCE PB

    Tatizo tuliruhusu Elimu kuwa Biashara, hilo ni kosa kubwa sana!

    Sijakubaliana na wewe kwani huduma za jamii nyingine mbona zinauzwa na hujasema? Huu ni uchumi mchanganyiko na kuna nyanja ya serikali na binafsi,ili ufanisi katika huduma upatikane .Serikali ipo kufanya uangalizi na kukusanya kodi tu,sasa ilaumu serikali kwa kutofanya uangalizi mzuri na sio...
  7. PATIENCE PB

    BA. in Economics ya UDSM

    Ah ha haaaaaa 2per my classmate .....
  8. PATIENCE PB

    Naomba kufahamishwa kuhusu program hii kwa ngazi ya shahada

    sana tu na Tz nzima inapatikana UDSM tu na wanataka watu 20 tu
  9. PATIENCE PB

    CPA(T) .Mwenye uelewa juu ya ili.

    Sawa ila naanzia level ipi ATEC 2 au FOUNDATION STAGE?
  10. PATIENCE PB

    CPA(T) .Mwenye uelewa juu ya ili.

    Wanajukwaa wazima? Mi mzima nauliza kama ulifaulu NABE |,NABE || na NABE |||.Pia una vyeti vyote vitatu.na O level ulisoma commerce na bookkeeping ukaifaulu vizuri ,pia A level ukawa umesoma ECA na kufaulu vizuri pia.Je kwa vigezo hivo ukienda kufanya CPA(T) unaanzia hatua (level) ipi?
  11. PATIENCE PB

    Msaada kuhusu Bachelor of Economics and Finance IAA

    Je Bachelor of art in economics (B.A.Economics) na hiyo BEF ipi nzuri zaidi kwenye upande wa kupata mchumi mzuri sana na katika soko LA ajira?
  12. PATIENCE PB

    East Africa Television, page yenu ya Facebook ni nani anayeihariri?

    Unakuta wamepost ETI ukisikia Diamond na Alikiba wameelewana.....utajisikiaje??? Jamaa huwa anapost kwa mihemko yule
Back
Top Bottom