Msaada kuhusu Bachelor of Economics and Finance IAA

Masiya

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
7,578
7,281
Bachelor of Economics and Finance inatolewa na Institute of Accountancy Arusha. Lakini hakuna taarifa zake kwenye mtandao. Ningependa kujua mchanganuo wa masomo kwenye hii program, je chuo kina walimu wa kutosha na madarasa yake huwa makubwa kiasi gani? Kama kuna mwenye program description niombe tuwasiliane.
 
Unazngua hadi ukubwa wa madarasa duuuh
 
Unazngua hadi ukubwa wa madarasa duuuh
Nataka kujua kwa wastani huchukua wanafunzi wangapi kwa mwaka? Hii itaashiria watu wanavyo ithamini hiyo program. Kuna program zinaonyesha kuwa na capacity kubwa lakini hupata wanafunzi wachache.
 
Inachukua watu 80 mkuu
80 ni capacity yake. Swali ni kwamba kawaida inapata wanafunzi wangapi? Lakini kubwa zaidi ningependa kujua program yao iko structured vipi? Na wana walimu wa kutosha? Part time instructors wakiwa wengi kunakuwa na utata na Mama Ndalichako anaweza akaleta taharuki kwenye hili. Ndio maana ni vizuri kuwa na idea na staffing yao.
 
Je Bachelor of art in economics (B.A.Economics) na hiyo BEF ipi nzuri zaidi kwenye upande wa kupata mchumi mzuri sana na katika soko LA ajira?
 
Je Bachelor of art in economics (B.A.Economics) na hiyo BEF ipi nzuri zaidi kwenye upande wa kupata mchumi mzuri sana na katika soko LA ajira?
mdogo wangu anaisoma yuko mwaka pili,naona wanasoma units nyingi za finance,so this z not pure economics.
 
mdogo wangu anaisoma yuko mwaka pili,naona wanasoma units nyingi za finance,so this z not pure economics.
Je units za economics ukilinganisha na finance zinabalance au finance ni nyingi zaidi?
 
Back
Top Bottom