Hivi moshi vijijin tulimkosea nin mungu kwa kutupa mbunge usiyejali watu wake hasa kwa kipindi hichi kigumu tunachopitia..anyway miezi michache imebaki tutapata suluhisho
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi wananchi tumemchoka Mbatia , tunajuta kwa kumchagua, E mwenyezi mungu utuongoze na utusaidie tusije rudia makosa kama tuliyoyafanya 2015.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana unaambiwa huna hoja za msingi...kwani kuishi kigoma utashindwa kujua matatizo ya songea kama wew ni mzaliwa wa pale. Fikisha ujumbe kwa aliyekutuma kuwa Watu wamemchoka hana jipya ubunge asahau kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kuleta tarifa zo wongo hapa..wewe ilishatembelea jimbon kwake ukaona matatizo yalivyokuwa mengi, kwa tarifa yako hata akija kugombania udiwani hapati, kwa kifupi tumemchoka. Hana alichokifanya tangu apewe fursa ya ubunge. Mwambie tumemchoka. Mfikishie ujumbe kwamba barabara ya Mandaka...
Baada ya wiki boss wa TAKUKURU akaja kwa fujo kuwa upelelez umekimilika hivyo wiki ijayo kangi na mwenzake watafikishwa mahakaman....kkmyaaaaa hadi leo
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.