Mbunge Abood atoa Ambulance na kugawa maelfu ya Barakoa mji mzima ili kuwakinga Wananchi na Corona

Hebu sema tofauti ya alichofanya Devotha na alichofanya huyo Mbunge ni ipi?!

Simply, wewe ni shabiki wa mbunge, na wale walikuwa mashabiki wa Devotha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba nikusahihishe mkuu.

Mimi ni mshabiki wa jambo jema lolote linalofanywa.

Nilichokifanya ni kuweka ukweli dhidi ya upotoshaji uliokuwa ukifanywa mwanzo na mashabiki wa Devota kumdhihaki Abood kuwa hajafanya chochote, wakati ndiye alitangulia kuwahami wananchi wa Morogoro kabla yake.

Yaani mama kutoa barakoa elfu 5 tu basi vurugu tupu na matusi juu, wakati jamaa alitangulia kutoa vitu vyote hivi na hakutaka mbwembwe!
 
Hii Ni kazi nzuri, wabunge wote washindane majimboni kugawa barakoa n sanitizer.huu sio wakati Wa kuzungumzia uchaguzi.
 
Huyo hana lolote, toka babu yake, baba yake na yeye ndio wametumalizia tembo wetu hivyo hizo anazotoa ni proceeds tu zilizotokana na nyara zetu.

Yeye anafukuzia tu ubunge wakati alipokuwa hajawa mbunge mbona alikuwa hafanyi hayo. Hao ni wanafiki tu na amekuta pia Morogoro waswahili ni wengi hawataki kufanya kazi wamebaki tu kuvizia fursa feki kama hizo. Very hopeless this Arab.
 
Hivi moshi vijijin tulimkosea nin mungu kwa kutupa mbunge usiyejali watu wake hasa kwa kipindi hichi kigumu tunachopitia..anyway miezi michache imebaki tutapata suluhisho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo hana lolote, toka babu yake, baba yake na yeye ndio wametumalizia tembo wetu hivyo hizo anazotoa ni proceeds tu zilizotokana na nyara zetu.

Yeye anafukuzia tu ubunge wakati alipokuwa hajawa mbunge mbona alikuwa hafanyi hayo. Hao ni wanafiki tu na amekuta pia Morogoro waswahili ni wengi hawataki kufanya kazi wamebaki tu kuvizia fursa feki kama hizo. Very hopeless this Arab.
Unafahamu alianza lini kuwa Mbunge?

Devota alipokuwa mtangazaji alikuwa akiyafanya haya?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom