Mke mbishi ndani ya nyumba

Mke mbishi ndani ya nyumba

Nikupe mfano. Hii rangi ni ya sebureni na hii ya nje,anabisha.fundi anapaka kishingo upande.Baadae watu wanakuja wanaanza kusema mbona rangi ya nje mmepaka ndani na ya ndani mmepaka nje.

Inabidi muingie gharama nyingine.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee baba endelea kwenda nae hivo hivo ila ikitokea unnecessary cost usilipe hapa arajifunza ila ukiwa wa kulipa imekula kwako. Kama hiyo ya rangi ilitakiwa usiingie cost kwa namna yoyote Ile hadi yeye mwenyewe alipe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee Hayo yameshanikuta...Bado naendelea kufanya mambo kwa ubabe tu..Mana ukimwambia anajifanya mjuaji saaaaana
Ulishawahi kuishi au kushuhudia mwanamke mbishi anajifanya anajua kila kitu yaani yeye ndio profesa,nabii ingawa lowkey unajua yeye ni bongo lala?

Unaishia kufanya mambo kimya kimya smart maana haelimiki na ajitambui kuwa mbishi baadae anajiona alipiga boko?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulishawahi kuishi au kushuhudia mwanamke mbishi anajifanya anajua kila kitu yaani yeye ndio profesa,nabii ingawa lowkey unajua yeye ni bongo lala?

Unaishia kufanya mambo kimya kimya smart maana haelimiki na ajitambui kuwa mbishi baadae anajiona alipiga boko?
[emoji847][emoji847][emoji847]hakuwa mbishi mwanzoni,kuna mambo yametokea apo katikati kupelekea io hali(mmezoeana)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kama mtu anajua kitu unataka ajifanye hajui au ni mimi ndiyo sijaelewa? Teh basi kazi mnayo mbona!
 
Back
Top Bottom