Recent content by Password

  1. Password

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa namna ya kupata autocad

    Ingia Google andika www.getintopc.com then select 3D CAD, baada ya hapo utaziona AutoCAD Kama zote kuanzia 2004. Ila chukua kuanzia ya 2013 na kuendelea. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Password

    JamiiForums Tanzania Kwa Wapenzi wa Filamu za Mapigano (Action Movies)

    Strike back Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Password

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Makundi ya makungwi mtandaoni yamponza dada kizazi chake sasa kimeoza

    Aiseee!!! Unakuta corona ilianza hivi hivi. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Password

    JamiiForums Tanzania Mkakati mpya wa kivita kwa kutumia Drones umesambaratisha vikosi vya Syria Idlib

    Vifaru 135, vilikuwa vimepangwa kama nyanya, au? kafanyaje hapo, Hii chai. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Password

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wenye tatizo la kusikia tupeane ushauri mbinu za matibabu na changamoto tunazokabiliana nazo

    Tupo wengi sana, cha muhimu ni kutokukata tamaa kuna njia ya operation inaitwa "cochlear implant". Hii inatatutua tatizo lote, ila gharama. Na matibabu yake hadi ulaya au marekani. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Password

    JamiiForums Tanzania Mchoraji kapatia au?

    Kichwa=Diamond USO= alikiba Mashavu & kidevu= harmonize
  7. Password

    JamiiForums Tanzania The death of Cde Robert Mugabe

    Rest in peace comrade Robert
  8. Password

    JamiiForums Tanzania Jumuiya ya Mabaharia Tanzania, mada maalumu

    Wewe kweli baharia
  9. Password

    JamiiForums Tanzania Ufahamu umeme sababu ndiyo msingi wa ubunifu wa vifaa vya electronics.

    Asante sana,pia niliiona software inaitwa "tinkerCAD" nayo ina kuwezesha kufanya simulation.em nianze kuzisoma taratibu halafu nitatumia nitakayoipenda na kuielewa kirahisi.
  10. Password

    JamiiForums Tanzania Ufahamu umeme sababu ndiyo msingi wa ubunifu wa vifaa vya electronics.

    Mimi nimejifunza arduino,ila ishu ipo kwenye circuit design. Je unaweza pendekeza namna bora ya kuweza kumudu vema "circuit design" japo kwa mbinu tofauti tofauti au kama unakifahamu kitabu kinachoelezea kwa ufasaha juu ya circuit design nitashukuru.
  11. Password

    JamiiForums Tanzania Ujerumani: Mtanzania afariki kwa kuchomwa sindano ya sumu kwa hiari

    Wewe mwenye kichwa cha binadamu hata ubongo wa nyoka hujaufikia. Usiutumie ujinga wako vibaya. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Password

    JamiiForums Tanzania Ujerumani: Mtanzania afariki kwa kuchomwa sindano ya sumu kwa hiari

    Darasani tulipewa mitihani tukaambiwa tunapimwa uelewa wa Kile tulichojifunza,sasa mungu akupe mtihani wa magonjwa anakupima nn Usiutumie ujinga wako vibaya. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Password

    JamiiForums Tanzania Ninauchukia sana ujana

    Mathayo 6:24-26 "Hakuna mtu anayeweza kuwatumikia mabwana wawili,kwasababu ama atamchukia mmoja na kumpenda mwingine,au atamthamini mmoja na kudharau mwingine.huwezi kumtumikia mungu na Mali."
  14. Password

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakaka ambao bado hatujaoa njooni tukubaliane kitu

    Malezi ya kitanzania yamejisahau sana kuanzia ngazi ya familia. watoto wa kike hawajui ama wamepuuza majukumu yao. hali hii huibeba hata ukubwani na huingia nayo kwenye ndoa,hivyo kubadilika sio rahisi. Wanaume wa kibongo ni kama tumekariri vile kwamba kuoa ni hapahapa nyumbani(TANZANIA) sasa...
  15. Password

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumtag Mtu ndani ya JamiiForums

    Shombe la Kisomali
Back
Top Bottom